Jackson jonh
Member
- Aug 11, 2011
- 46
- 7
Wana JF wenzangu,kwa yeyote atakaekuwa anahitaji contena tuwasiliane.ndogo dola 2500 na kubwa dola 4500
Ukitutangazia viwango kwa local curency unajisikiaje? Au unataka tukuone wa juu sana?, acha hizo.
Siko huko mkuu.ni vile hii pesa yetu inayumba sana,ndo maana tunatumia kwa dola.kama utakuwa unahitaji na una pesa ya kwetu ni kiasi cha kufanya calculation kwa change ya siku hiyo ilivyo.usinifikirie vibaya kabisaa