Morning Magic vipi?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,848
2,669
Toka jana kumekuwa na hali ya sintofahamu katika kipindi mahiri cha morning magic kinachoendeshwa na galacha watatu; orest kawau, meshack nzowa na mary edward. Jana kipindi kilichelewa sana kuanza. Na kilipoanza walikuwa watangazaji wageni kwa kipindi. Leo pia kina orest hawako, na hawa wageni bado wanasuasua. Kulikoni Magic FM?
 
Jamani naomba sana kuwashauri hawa magic heri wafute hicho kipindi cha magazeti.......wanakosea kosea sana hakuna hata raha ya kuwasikiliza kwa kweli!!wamewatoa wapi hao watangazaji jamani??inatia aibu hata kusoma kiswahili jamani hawana hata flow??wadau sikilizeni mtabaini haya!
 
ni kweli ndugu. Kipindi kimepoteza mvuto ghfla. Hawa vijana wapya hawajaandaliwa kabisa! Na wakisoma kingereza ndio hovyo kabisaa! Nitarudi clouds kama mambo ni haya
 
naona wakongwe wamerudi kwenye kipindi; orest na mary, ila simsikii nzowa. Nahisi kuna beef hapo mjengoni kati ya hawa watangazaji. Fanyeni kazi wandugu la sivyo mtapoteza wasikilizaji
 
Back
Top Bottom