Kama Tanzania tunategemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu je ni sawa nikasema tunategemea "a paralysed backbone"'???? naombeni msaada wa importance of agricuture in tanzania's economy
Wakati Tanzania tunawabembeleza na kuwakumbatia wale wote wanaojishughulisha na uuzaji wa madawa ya kulevya,china watu hao hawadhubutu kuchezea nchi yao,kisa hiki kimemkuta mdada mmoja kutoka...
Wanajamvi hakuna mwenye taarifa za kuwepo kwa tifu leo Jijini? Nimepishana na kikosi cha FFU kikiwa na magari kadhaa ya washawasha hapa Mandera road karibu na Ubungo mataa wanachanja mbuga...
Nimo kwenye basi nasafiri, kuna sinema "Devil Kingdom" inaendelea na Msanii nguli na muandaaji wa filamu hiyo ni Steve Kanumba. Mwisho wa filamu Kanumba anawashukuru watu wengi kwa kusaidia...
leo nilitune KBC channel one mida ya asubuhi. Moja kati ya taarifa zao ilikuwa punguzo la bei ya mafuta (petrol, diesel na kerosene) karibu nchi nzima ya Kenya kuna punguzo la karibu Kshs 5...
Kati ya wanafunzi 567,567 waliofaulu ni wanafunzi 515,187 ndio waliopata nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza na wanafunzi 52,380 kukosa nafasi.
Hata hivyo naibu waziri wa elimu Mh.Mulugo...
Naomba kama mtu anajua namna ya kuunganisha IDs hapa Jamvini. Ninazo kama tatu hivi sasa nimechoka kuingia na kutoka na kutumia nguvu zangu kujifanya sio mtu huyo huyo mmoja. Ila nataka michango...
Ni kwa muda mrefu sasa sijakisikia hiki cheo, wala sijamsikia mheshimiwa Tambwe Hizza aliekuwa na hiki cheo cha mkurugenzi wa PROPAGANDA wa chama cha mapinduzi.
Je CCM mmejishtukia na kikifuta...
Walimu 300 wasotea mishahara ya Nov
Send to a friend
Daniel Mjema,Moshi
ZAIDI ya walimu 300 katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, hawajalipwa mishahara yao ya mwezi...
Hawa viongozi wa TANESCO hawana mipango yenye tija,wala hawana uwezo wa kulisaidia shirika kupata mapato zaidi,NAWASHAURI WATAFUTE NJIA YA KUZALISHA UMEME KWA WINGI ILI KUPUNGUZA UKOSEFU UMEME...
Ninaomba viongozi wa ccm taifa mjibu hili swali. wakati wananchi walipolalamikia kupanda kwa bei ya mafuta ya taa ilifika point nanyi kupitia vikao vyenu mkaonyesha kusikitishwa na hili jambo...
IMEBAINIKA KWAMBA ASKOFU THOMAS LAIZER AMEMTAKA MCH AMBILIKILE MWASAPILE ATOE HESABU ZA MAPATO NA MATUMIZI ILI WAWEZE KUJUA NI KIASI GANI KIMEPATIKANA BAADA YA KUBAINIKA KUWA ZAIDI YA WATU...
Toka jana kumekuwa na hali ya sintofahamu katika kipindi mahiri cha morning magic kinachoendeshwa na galacha watatu; orest kawau, meshack nzowa na mary edward. Jana kipindi kilichelewa sana...
Jaman nipo mjini Moshi, imefunguliwa Nakumatt Supermarket, nimeingia humo ndani, wahudumu almost all ni Kenyans. Kwa nini? Nilitegemea wawekezaje wanapokuja moja ya masharti iwe ni ajira kwa...
UBUNGO MATAA KUMEKUWA PANGO LA WANYANGANYI Tarehe 12 Desemba 2011 nilichelewa kutoka katika mihangaiko ya maisha yangu mpaka kwenye saa mbili usiku. Kwakuwa mimi ni mwenyeji wa Kibaha na kesho...
Hili la utata wa sakata la posho za wabunge napata wasiwasi kuwa ni njama ya kutufumba akili zetu na kutupoteza maboya watanzania ili tusahau suala nyeti la mchakato wa kutungwa kwa katiba mpya...
Basi la Green Star ilyokuwa inatoka mwanza kuelekea Dar imepata ajali maeneo ya shelui kijiji kimoja kabla hujafika shelui centre, hakuna mtu aliyekufa,imegonga na kuua ngombe saba
MDAU AADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA KWA KUUZA BIDHAA ZA KITANZANIA KWENYE MAGULIO YA ULAYA
Wengine wakiwa wanaadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania kwa sherehe, siasa nyingi...