Msaada waheshimiwa...
Waliopita njia hiypo juzi juzi naomba kueleweshwa hali ya barabara na muda wa kusafiri na Landrover...
Mwanza - Kigoma: - Mara ya Mwisho mimi kupita njia hiyo ilikua 1986...
Nimekuelewa mh. kwa kauli yako ya kuitaka EWURA kuwakamata wafanyabiashara ya mafuta waliogoma kuuza mafuta kuwanyang'anya leseni na kuwafikisha mahakamani kwa kuwa kitendo walichofanya ni...
SIDHANI kama upendelo wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa mahujaji waliokwama wakati wa kujiandaa kwenda Hijja umetokana na udini.
Naamini kabisa kuwa kulikuwa na sababu nyingine iliyomfanya...
Wakati taifa likiwa katika hekaheka na taharuki za janga la mafuriko yanayoendelea dar na huku barabara zikiwa zimefungwa na magari hayapitiki wanaume na wanawake wakwasi(mabazazi) wamepata ahueni...
Taarifa kuwa mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed ameamua kumwangukia msaliti Seif Shariff Hamad zinatia kinyaa. Kumbe naye hana tofauti na David Kafulia! Wengi walidhani ana hoja kumbe shida yake...
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo...
Ndugu wanJF, mimi ni mmoja wa Watanzania wanaotumia usafiri wa daladala karibu kila siku. Lakini naona kama kero za usafiri huu zinaongezeka siku hadi siku.
1. Lugha chafu (matusi) kutoka...
Jaman wanathnker vipi hili nalo sio janga la kuwatengenezea pesa kampuz za simu mfano tigo,vodacom,airtel na zantel kuandaa sms zao za majanga kujinufaisha wao wenyewe wakowap hawa wenye kampun za...
Nimefuatilia kwa ukaribu sana na nimegundua kila ifikapo mwisho wa mwaka skukuu ya Christmas serikali hutoa fungu kwa wizara zake tofauti kwa ajili ya maandalizi ya skukuu hiyo kwa kukodi wazabuni...
KUKOSEKANA kwa mafuta ya petroli jana kulizua tafrani kubwa kwa wakazi wa Jiji la Dar es alaam baada ya vituo vingi vinavyouza nishati hiyo kugoma kutoa huduma hiyo. Misururu mingi ya magari hasa...
Ni kuhusu matokeo ya ugonjwa wake
Ripoti nzito ya madaktari yatua serikalini
Asema amerudi salama, hatalipiza kisasi
Naibu Waziri wa Miundombinu, Harison Mwakyembe, akizungumza na wandishi wa...
I'm delighted to welcome in our midst:
Mr. Jenerali Ulimwengu
Mr. Orton Kiishweko
Ms. Salome Gregory
Mr. Finnigan wa Simbeye and
Mr. Eric Kabendera
Ms. Fausta Musokwa
The Splendid Quintet will...
‎***we do it for the people*** KAMATI KUU YA VINEGA WA ANTI-VIRUS IMEAMUA KUWA, KATIKA KILA TSHS 3,000/- YA KIINGILIO CHA CONCERT YA MBEYA DEC 24...,TSHS 1,000/- ITAENDA KWA WAATHIRIKA WA...
Minister defends his PhD
The minister for East African Cooperation, Dr Diodorus Kamala, yesterday defended his doctorate degree in the wake of reports that a number of ministers and MPs have...
Wakuu! ni wiki ya pili sasa kila ninapoweka pesa kwenye laini yangu ya Vodacom wana tuma message kuwa umekatwa shs. 600 kwa kutumia huduma "yako" ya swaga!!!! katika siku tano tayari wameshakata...
Kuna tetesi nazipata hapa nilipo kuwa huenda wafanyakazi wa ile radio inayosemekana ya Mh. Huenda wakagoma baada ya uvumilivu wa kusubiria mshahara wao wa mwezi Nov 2011 kutozaa matunda...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
Finnigan Wa Simbeye
20 December 2011
AN ambitious project to expand and modernise Kilimanjaro International Airport by 2015 that will allow more world class...
JUKWAA la Wahariri nchini (TEF) limesema kukamatwa kwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Free Media inayochapisha magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, Absalom Kibanda, ni utekelezaji wa mpango wa...