Msaada: Safari ya Gari Ndogo: Mwanza - Kigoma / Kigoma - Mbeya

Baba Sangara

JF-Expert Member
Dec 16, 2007
294
154
Msaada waheshimiwa...
Waliopita njia hiypo juzi juzi naomba kueleweshwa hali ya barabara na muda wa kusafiri na Landrover...
Mwanza - Kigoma: - Mara ya Mwisho mimi kupita njia hiyo ilikua 1986 ... ilikuwa safari ya siku Mbili... Siku hizi?
Kigoma - Mbeya: Sijawahi... Siku mbili?.... kuna Hoteli nzuri njiani? Uvinza? Mpanda? Sumbawanga
 
Kigoma - mbeya siku 2, njia ya KG Mpanda ni mbaya, mpanda hakuna hotel labda ukalale katavi national park, njia ya Mpanda - sumbawanga ni mbaya pia, sumbawanga kunahotel/loges nzuri. Day 1: 'Kgoma to mpanda, day 2: mpanda meya inawezekana bcos sumbawang to mbeya brbr ni nzuri.
 
Kutoka Mwanza hadi nyakanazi mwisho wa lami. Kuanzia Nyakanazi kwenda Kigoma barabara ni mbaya sana, Kigoma - Mbeya sijawahi pita ila sijui kama inapitika
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom