Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa TBC saa ingine huwa nashindwa kuwaelewa. Mara kwa mara huwa nawasikia wakisema wanaonekana kwa njkia ya setelaiti hadi nchi za magharibi za marekani na ulaya n.k. Ila inaonekana waandaaji wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kuheshimu na kuzingatia sheria za Haki Miliki, naweka link ya source na si content. DailyNews Online Edition - Kagera honours its outstanding achievers Kujadili hakuhitaji RUKSA!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ajali imetokea maeneo ya mikumi Source:Clouds Fm
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu GT, naamini humu ndio kila kitu, leo naomba kuulizia suala la mafunzo ya uaskari kwamba kwa mwaka huu wahusika wanaokwenda kusoma haya mafunzo wanatakiwa waende mwezi gani na tarehe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wabeba Box wa USA, Akiojiwa na Gabriel zakaria(mtangazaji wa TBC1),Emmanuel alisema hali ya uchumi nchi USA ni ngumu hakuna kazi kabisa,sasa najiuliza wabeba box wa uko wanaishi vp...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara husika na ajira za walimu na wakufunzi toeni bac hzo ajira, ili 2jue mapema km ni kuendelea na private ze2 ili 2saini mikataba mipya au 2ache. Januar, mwez wa kuanza na plan mpya ndo huu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninavyojua mimi kiongozi ni mtu mhimu sana kwa wale anao waongoza,kama kiongozi ni mzuri basi takribani mambo mengi yanakuwa mazuri hata kama sio yote.Mambo yanapokuwa mabaya pia lawama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kuona hii picha ktk blog ya michuzi nimegundua kuwa Mh. Pinda alilia kuhusu suala la mauaji ya albino sababu anae mwanafamilia ambaye ni albino (mjukuu). Angalia picha hii ambayo amepiga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuesday, 03 January 2012 21:10 By Ludger Kasumuni The Citizen Reporter Dar es Salaam. Tanzania, with an estimate population of 42 million people, now has 11 per cent of Internet users...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ukweli mimi kama Raia wa kawaida sijui hasa ni zipi kazi za mamlaka hii hasa linapo kuja swala la television, tulitangaziwa kwamba Tanzania kama nchi nyingine duniani kote, inaondoka kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani, nilipigiwa cmu nikimbie kuangalia tbc kwani lowassa aliongea juu ya migomo ya wanafunzi na serikali. Nasikia ametupa makombora makali sana lakini lakushangaza story mpaka tumefika habari...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ajali imetokea morogoro gari hili hufanya safari zake kati ya dar na iringa. Sourc ch ten. Mwenye updates atujuze.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wana Jamvi, Leo kwenye gazeti la Uhuru na Jambo Leo kuna habari inayosema "Mbunge afichua UFISADI Kivukoni. Katika kupitia habari ndani nikaona kuwa kuna bei mpya za kivuko zimeelezwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MWANAFUNZI ATUKWA AMEKUFA KWA KUTOA MIMBA KTK CHUMBA CHA MWANAFUNZI WA CHUO Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa aliyetambuliwa kwa jina la Yasinta Kasuga amekutwa amekufa eneo la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natoa pongezi kwa serikali kwa kupiga marufuku simu za mkononi mashuleni.Simu hizi zimekuwa kama njia ya kupatia wapenzi badala ya kupata mambo ya maana.
4 Reactions
53 Replies
11K Views
Inasemekana kupandishwa kwa tozo ya kivuko Kigamboni ni KIASHIRIA chA shuruti ya kuhama kumpisha George Bush (mmiliki) ambaye alikuja kupakagua hivi karibuni................by implications bei za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamanda mpinga,mkuu wa kikosi cha usalama barabarani nchini,akiojiwa na tbc saa 2. Usiku. Kasema zoezi la ukaguzi wa leseni limesimamishwa kwa wiki moja. Ameimiza madereva wote waende kubadilisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bongo hakuna uhuru wa maoni!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ninatangulia kushukuru kwa yeyote mwenye e mail address hiyo na atakayekuwa tayari kuniwezesha kuipata hiyo.it is merely a business purpose!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kweli kama kuna wakandarasi wabovu ndiye huyu aliyejenga Kijitonyama to Kopa mwananyamala, kuna uharibifu mkubwa wa raslimali za taifa, huyu jamaa kapaka mfano wa lami na kujaza kokoto alafu kesho...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…