Sipati picha el akiwa raisi

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Kwa wale tunaoishi hapa Arusha sipati picha huyu EL akiwa Raisi kweli hakuna rangi tuta acha kuona. Huwa nawaambia wenzangu kuna watu watatumbelea vichwani katika huu mji. Mana hawa jamaa mpaka leo bado wanamtambua kama waziri mkuu na Rais mtarajiwa ilhali aliondoka kwa kasha kubwa ya Richmond.

Kuna wenzangu wananiambia tuangalie tu upepo tukiona huyu braza anaelekea Magogoni nasi tuji switch!!!

Nawakilisha.
 
tunaomba hoja hoja nyingine, hii ya EL tushasema tumechoka...Kwanza nani ampe nafasi ya magogono, acheni fikra mbovu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom