Taarifa za habari za wakenya, waganda mbona hazina habari za tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa za habari za wakenya, waganda mbona hazina habari za tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fumakule, Jan 4, 2012.

 1. f

  fumakule New Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi naangalia taarifa za kbc, citizen kenya na ubc mbona huwa sioni taarifa za afrika ya mashariki kama sisi tunavyojikomba kwao
   
 2. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hili nano nelo. Tanzania kujikomba sijawahi kuona.USHAMBA UNATUSUMBUA SANA WATZ. Habari zenyewe basi zinapita shaaa hata huwezi elewa nini kinatangazwa. ndo maana zamani tulikuwa tunasoma jiografia ya Sweden, lakini ukimuuliza mwanafunzi Dar ipo lattitude na longitudo gani hata hajui ila muulize sweden ipo longitudo ngapi atakujibu fasta.
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mm'pia huwa najiuliza sana hilo swali!kenya hata huku Tz kitokee kiti gan hawasemi!labda babu wa loliondo ndio walilisema tuu!tuache ushamba na kujikomba kwa kweli.
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ndio mana mi huwa zikiisha habari za kitaifa nabadilisha chanel naangalia miziki weeee navuta muda wa habari za michezo.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  tuna kiherehere sana tanzania
   
 6. L

  Lsk Senior Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....aise mtoa thread hii umelenga. Nilikuwa najiuliza swali hilohilo juzi. Nina ka-decoder ka hawa Wachina wanaojiita STAR TIMES. Pamoja na upuuzi wao mwingi nabahatika kuangalia angalau CITIZEN na KBC,sijawahi kuona habari yoyote ya Tanzania zaidi ya ile ya mzee wa Mbeya aliyeibukia Loliondo,ambayo nayo km mtu ulikuwa makini lazima uligundua kuwa walikuwa wakiitangaza kwa kutukebehi. Kweli vyombo vyeti vya habari badilikeni,ACHENI kuwapromoti hawa majirani.
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mbona mawazo yenu nyote mwafanana ? Kuna ubaya gani sisi kufaham habari zao japo kuwa wao hawataki zetu.
   
 8. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni unyonge kujikombakomba!
   
 9. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Abgalia ITV, TBC, Star TV acha kujikomba CITIZEn and KBC unatafuta nini huko???
   
 10. j

  janejean Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uvivu wa wanahabari wetu ndio sababu wanatangaza habari zisizowahusu na kuacha zinazowahusu. Sijui hawa startimes wamewapa wote ving'amuzi vya bure? wanashinda ndani kuangalia habari za wenzao na wanaacha kuingia mtaani kutafuta zao. unadhani wataonesha nini saa mzima, kama sio ku-copy na ku-paste ma-news ya wenzao?
   
Loading...