JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 499
Wana jamvi.
Jana usiku mida ya saa 2 kamili nikiwa kwenye baa moja nikijipongeza kwa kulitumiakia taifa sikuamini kilichotokea.
Ilikuwa taarifa ya habari radio one ilianza hivi..
mtangazaji..
habari tulizopata hivi punde kutoka ikulu zinasema rais jakaya kikwete..........mara umati wa watu baa nzima wakasimama huku mkono mmoja ukiwa juu kuashiria ushindi, shwangwe au furaha..mtangazaji akaendelea kusema amewateua makatibu/katibu mkuu mara watu wote wakashusha mikono na kuzogoa ahaaaaaaaaaaaa wote kwa pamoja na kusema nilidhani amekufa tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mweusi...sikuamini macho yangu kwani 30% ya watu hao walikuwa polisi, nikashikwa na butwaa mpaka sasa siamini na ninajiuliza hivi watanzania hawawezi kufanya chochote mpaka wamuombee afe?? Hichi ni kimeo angalia watu hawa wasije gawana vya kwako pale utakapo kuwa huna kinga.
Naamini matukio kama haya yanatokea sehemu nyingi ya tz kama kuna la zaidi wakuu mnaweza kuongezea