Jeshi la polisi - na leseni mpya za class c | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi - na leseni mpya za class c

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by terabojo, Jan 4, 2012.

 1. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wana JF napongeza uamuzi wa waziri wa mambo ya ndani kutoawiki moja zaidi kwa watu na hasa madereva wa mabasi na magari makubwa ili waweze kupata hiyo leseni mpya. Wasi wasi wangu ni kwamba hiyo wiki haitoshi kwa kuwa kama mtu hana inabidi akapate mafunzo ktk chuo cha usafirishaji - si chini ya wiki 2, akifaulu aende TRA aandikishe na aende traffic waka mpe road test ndio aende tra kupata leseni. Mzunguko huo si chini ya siku 30.
  Suali ni je waziri hajui mlolongo huo?? Nawakilisha
   
 2. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Jamani mwaka 2012 Uwe ni mwaka wa kutokuwazoesha Trafiki kupata rushwa, mimi binafsi huwa nalipa faini kwani mi nina ugonvi na askari wa bongo, nadhani hii issue ya Class C ni issue ya kutaka kuwaumiza jamaa zetu madreva.

  Hebu jitahidi kutokuwazoesha rushwa hawa wang'ang'anizi wa rushwa.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  we unataka leseni za fasta fasta?
   
 4. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Zoezi lilianza tangu mwaka jana mwezi wa sita.
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tusikurupuke kulaumu wakuu, hii notisi ilikuwapo toka mwaka jana June. Vichwa ngumu tu vya hawa madereva hakina kingine.

  Kwa kutotaka kufuata deadlines na hulka yetu ya kutotaka kufanya yatupasayo timely kwa mara nyingine inawapa ulaji Traffic police. Moshi unaipata kwa 200,000
   
Loading...