Utabiri wa hali ya hewa tz

LUPITUKO

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
279
183
Wana JF nauliza hivii; Idara ya utabiri wa hali ya hewa ina wataalamu wenye vyeti fake? Au vyombo vyao vimepitwa na wakati? Hakuna namna yeyote ya kuwashtakii kwa hasara au usumbufu wanatuletea wananchi kwa utabiri fake?
Kinachonishangaza zaidi ni kwamba hata simu yangu ya mkononi inatabiri hali ya hewa kwa usahihi zaidi kuliko hawa jamaa wanaokula kodi zetu. Haiwezekani utabiri hali ya mafuriko makubwa pakosekane hata manyunyu tu!
Mzee wa upako LUSEKELO lazima ana simu tu yenye kutabiri hali ya hewa ndo maana alisema kwa uhakika hakutakuwa na mvua Dar na mimi nilijua hilo pia ila kwa mara ya kwanza nilitaka kujua kama simu zinadanganya au ziko sahihi kuliko vyombo vya hawa jamaa.
Kwa wiki sasa nimefatilia simu iko sahihi kuliko maelezo.
 
Argument yako inakosa base!
Namba moja, kubali kuwa ule unaitwa UTABIRI WAHALI YA HEWA, na siyo 100% confirmed!
Pia Hujasema moja kwamoja kuwa kosa lao lilifanyika lini!
Lakini hujawahi kusikia wakisema kuwa:MATAZAMIO MBADILIKO KIDOGO, je mwenzetu unaitafsiri vipi kauli hiyo?
Acha kubeza profession za watu!
 
Argument yako inakosa base!
Namba moja, kubali kuwa ule unaitwa UTABIRI WAHALI YA HEWA, na siyo 100% confirmed!
Pia Hujasema moja kwamoja kuwa kosa lao lilifanyika lini!
Lakini hujawahi kusikia wakisema kuwa:MATAZAMIO MBADILIKO KIDOGO, je mwenzetu unaitafsiri vipi kauli hiyo?
Acha kubeza profession za watu!
Umetafsiri kwa kiswahili zaidi Mkuu na mbaya zaidi umetuhakikishia kuwa hio taaluma haina akili kabisa ya kubahatisha tuu hata waganga wa kienyeji wanaweza ifanya pia, point yangu ilikuwa hv; yalitabiriwa mafuriko ok, utabiri kwa uelewa wako sio 100% ok, sasa fanya 50% basi, hio mvua tu ya maaana au manyunyu yalikuwepo? Umekurupuka Chief hebu jenga hoja tena kuwatetea ndugu zako hao.
 
Tuwe wapole jamani huku tukikumbuka kuwa walitumiwa kisiasa ili kurahisisha zoezi la kuwaondoa mabondeni, ni hilo tu wala hakuna lingine ila kuita Utabiri haimaniishi kuwa ni ramli, hio ni taaluma kabisa na wanaweza kukupatia exact matokeo
 
So far yes, kwa sababu ukitafisiri neno ' forecast' au UTABIRI maana yake ni 'to tell about something b4 it happens' sasa wanayofanya TMA kama si ramli ni nn?
 
ukitaka kupata matokeo sahihi kama simu yako ina accuwheather unapata sahihi bila chenga za TMA
 
TMA....Duuuu........Tazama Mawingu Arifu..........Ramli..hiiii fake...sasa subiri march.....ndio utabiri wa December utazaa matunda!!!!
 
Back
Top Bottom