POLE Mh. HAMAD RASHID | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

POLE Mh. HAMAD RASHID

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KARYAMAMBA, Jan 5, 2012.

 1. K

  KARYAMAMBA New Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani…! Upinzania unaelekea wapi……? Kwani kwenye Siasa hakuna Yellow Card, kama mpirani?, nadhani CUF, NCCR Mageuzi na vyama vingine, fanyieni kazi mambo au madai ya wanachama na viongozi mnao wapa RED CARDS, maana Sababu zilizofanya muwafukuze uanachama ndizo sababu hizo hizo zitafanya kuwafukuza wengine na wengine, mimi nadhani kuwepo na kipengele cha ukomo wa uongozi mfululizo katika nafasi za juu na si kiongozi anang’ang’ania Ukatibu Mkuu au Uenyekiti kwa zaidi ya Miaka 15. Tunahitaji watu wapya, uongozi tofauti na mabadiliko ya kila baada ya Miaka kadhaa ili kuboresha vyama vya upinzani. Chukueni baadhi ya utaratibu wa CCM..Mfano; Mwenyekiti wa Chama mya, atateua Katibu Mkuu mpya, makamu wa Mwenyekiti, na uongozi wote wa juu atakaefanyanae kazi vizuri kwa kipindi chake nk
   
Loading...