Kivuko kinaingiza pesa mzuri per day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kivuko kinaingiza pesa mzuri per day

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyanya mbichi, Jan 4, 2012.

 1. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,203
  Likes Received: 1,333
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa Taarifa kutoka kwa muheshimiwa Dr.JOHN POMBE MAGUFULI kuwa mapato yamepanda kutoka mil 9 hadi mil 18 kwa cku, kutokana na gharama mpya ya kivuko . Source MLIMAN TV .
  SWALI MILL 9*30 dayz 2napata Tsh ngapi je hazitoshi kuendeshea Kivuko au vivuko hivyo je 2kifanya MILL 18*30 dayz au *365 kwa mwaka je 2napata Tsh hiz pesa zinakwenda wapi?
   
 2. b

  bagain JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60


  kwa nini milioni 18? Au bajaji na maguta na magari yameacha kuvuka? Kwa sababu kwa abiria ndiyo nauli imepanda asilimia mia moja LAKINI VYOMBO VINGINE ni zaidi ya asilimia mia moja, iweje mapato yawe mara mbili tu???
   
 3. mustiss

  mustiss Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wizi mtupu! wapunguze gharama za uendeshaji. kazi ya kuchana tiketi unakuta kuna midume minne imekaa, walinzi ni zaidi ya BOT.
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Hacheni kulia lia kama vipi pigeni mbizi, we sh. 200 mnamid
   
Loading...