tz1
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 2,121
- 538
Mi navyo jua nauri ya chini kabisa ya dala dala ni shillngi 300,
Hata ukishuka kituo kinacho fuata toka ulipo panda.
Sioni kwa nini nauri ya feri kupandishwa kuwa 200 watu
wanalalamika.
Mi binafsi ningependekeza ipande tena iwe shillingi 300 kama
dala dala.