Wiki hii yameripotiwa matukio kadhaa ya ujambazi ambapo watu wameuawa kwa nyakati tofauti na hivyo kuleta mtikisiko unaotishia amani ya nchi yetu. Kibaya zaidi, miongoni mwa matukio haya...
Mtoto wa kikwete alisha mpiga mkwara mbuzi Dr slaa na kutishia kumpeleka mahakamani eti akidai Dr Slaa amemzushia kuwa yeye ni milionea na ana miliki maroli na vituo vya mafuta.
Aliahidi...
Wakuu ni siku chache tu nyuma ndugu zetu Wa tz bara mlisherehekea Miaka 50 ya Uhuru, Mungu ndie ajuae ni shilingi ngapi ziliteketea katika maadhimisho hayo.
na sasa hivi hapa kwetu visiwani...
Heri ya mwaka mpya wana jf woote
Mara nyingi nimekuwa najiuliza maswali mara niendapo kwenye msiba, wanawake huwa wanaliiiia kwenye msiba hata kama aliyekufa hawamjui, mwanamke atalia kwa uchungu...
Hatma ya wapangaji kitendawili
Baadhi ya wathirika wa mafuriko katika kambi ya Azania wakipandisha mizigo yao katika gari la jeshi la ulinzi tayari kuhamia katika kambi nyingine ya Ubungo...
KAMA Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana huru [1957] na Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania huru [1961], kwa pamoja wangefufuka leo na kuona jinsi Afrika inavyoyumba kufikia...
Katika benki zinazoongoza kwa huduma mbovu kabisa hapa Nchini ni hii NMB(benki ya makabwera).Wanagharama za ajabu ajabu sana kuweka pesa kwenye akaunti ya mtu mwingine unalipa 1000,kuendesha...
Ndugu wadau wenye magari weekend hii msije mkacheza fauro na kuingia mikononi mwa hawa MAJEMBE wanaokamata magari na kuyaburuta bira idhini yako.Hawa jamaa wanadai wanakamata gari lolote litakalo...
Wanabodi, kwa kawaida huwa siangalii kipindi cha Ze Comedy Original cha kina Joti kinachorushwa na TBC kwa vile niliwaona kama waopuuzi puuzi fulani hivi, lakini leo imetokea niko mahali wao the...
Watanzania;
naomba niwe muwazi, sipendi muungano, naona ni unyonyaji na kurudishana nyuma, natamani tungekua huru bila zanzibar... uhuru tulioupoteza mwaka 1964; tanganyika ni taifa lililoishi...
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli
Baraza la Maadili la Kiislamu Tanzania, limelaani kitendo cha kuzomewa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kilichofanywa na baadhi ya wakazi wa Kigamboni...
Jamani tumfanye na Rais asomage humu mara moja moja kwa kuchombeza yale mazuri anayoendelea kufanya katika jamii yetu
Hapana shaka kwa hili hatutamsahau Rais wetu, ni mtu anayependa sana...
Pamekuwepo tangazo kwenye vyombo vya habari toka ofisi ya Waziri Mkuu kuwa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha patakuwepo na mvuakubwa itakayoambatana na upepo katika mikoa ya Kusini, Mtwara...
askari wa jeshi la polisi wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika gari Land rover tdi yenye namba PT 1490 muda wa saa saba na nusu,wakiwa kando ya barabara indayo Dodoma katika pori...
Wadau naomben msaada.Kozi ya uaskari magereza na jwtz ipi ngumu zaid?Nauliza kwa sababu dogo anataka kujiunga sehemu 1 kati ya hizo.huku uswahilin kuna maneno ya kutisha kuliko vitendo!MSAADA...