Kwa nini wanaolia kwenye msiba ni wanawake peke yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanaolia kwenye msiba ni wanawake peke yake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aine, Jan 5, 2012.

 1. A

  Aine JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Heri ya mwaka mpya wana jf woote

  Mara nyingi nimekuwa najiuliza maswali mara niendapo kwenye msiba, wanawake huwa wanaliiiia kwenye msiba hata kama aliyekufa hawamjui, mwanamke atalia kwa uchungu na makamasi yatawatoka, lakini wanaume utawaona wapo tuu wanahangaika kufunga maturubai na kazi zingine.

  Hivi umewahi kujiuliza kama mimi ni kwanini wanaume hawalii kwenye msiba?

  Au kama kuna wataalam watujuze ni kwanini hasa, whyyyyyyy!!!!!!!
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  alie kwambia wanaume hawalii ni nani?
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni mimi aine
   
 4. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aujuaye uchungu wa kuzaa ni mwanamke! Kwa kuwa wanazaa kwa uchungu sana, vivyo hivyo hukumbuka ule uchungu anapotutoka huyo mtu, ingawa pasipo wao kujua! Namin hata wewe kama kuna kitu ulikisotea mda mrefu na kikawa na umhim mkubwa kikipotea lazima uumie sana! Lakin pia tunatofautia ktk wiwango vya huruma! I mean mwanamke hana uwezo mkubwa wa kuhifadhi Uchungu, hasira moya kama mwanaume! Nawashauri wanawake lieni sana maana inatoa sumu mioni mwenu!
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Wanaume wanalia ndani kwa ndani.(KWA VIBRATION)
   
 6. B

  Baba Mchungaji Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo tu kulia Misibani bali hata kushangilia sana kwenye sherehe kama vile harusi, mahafali, sikukuu za kuzaliwa na nyinginezo. hii inatokana na wanawake kuwa na vionjo na hisia zaidi kuliko wanaume!.
   
 7. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kuna wanaume wanalia...nilishawahi enda msiba huyo kaka alifiwa na mkewe mtarajiwa a week before harusi yao. Yule kaka alilia mpaka akazimia. So si kwamba wanaume hawalii completely misibani. Inatokea cases hulia pia.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 9. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...hapa bana!...huyo jamaa kwenye hiyo picha amevuka mipaka ya uanaume..
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 11. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,212
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  huyu c mwanaume ni Mtoto wa KIUME
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Huyu halii ndio sura yake ilivyo,2nakaa nae jirani.
   
 13. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wanaliaga nyuma ya mlango yakiwasibu,hawapendi kulia mbele za watu!
   
 14. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wanawake viumbe dhaifu, sio msibani tu, hata wakisikia raha utamu wanalia tu
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wanapenda kulialia...hata kwenye vitu vinavowapa utamu wanalia
   
 16. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Tena kwenye utamu kelele huwa juu sana.
   
 17. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wanawake hawana koromeo ndio maana wanalia ila men wanazo zinablock kilio.
   
 18. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  ukilia unaondoa machungu then unasahau ila ukilia ndani kwa ndani uchungu unajilundika mwishowe unaugua vidonda vya tumbo, kisukari, shinikizo la damu n.k
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wanawake tuna roho nyepesi, huwa tunaona tukilia ndio tunapata nafuu.
   
 20. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Huyu nani au ni Mizengo Kayanza???
   
Loading...