Mkwara wa rizione kwa dr slaa umeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwara wa rizione kwa dr slaa umeishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MsakaGamba, Jan 8, 2012.

 1. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa kikwete alisha mpiga mkwara mbuzi Dr slaa na kutishia kumpeleka mahakamani eti akidai Dr Slaa amemzushia kuwa yeye ni milionea na ana miliki maroli na vituo vya mafuta.

  Aliahidi kufungua mashtaka mahakamani. Wakuu nauliza ile kesi imefikia wapi maana naona kuna ukimya, au dogo ameamua kujipigisha mbizi?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Akili za mbayuwayu
   
 3. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  aliikuwa anatishia nyau mtu mzima, na kitendo chake cha kupotezea watanzania tumerekodi kuwa maneno ya dr slaa ni kweli ivyo ccm ikitoka madarakani atatueleza izo mali kazikwapua wapi? na atawajibika kwa hilo, wasome alama za nyakati na aangalie yaliyompata hosni mubarak pia ghadafi, kuna siku
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,121
  Likes Received: 7,372
  Trophy Points: 280
  Ushasema mkwara!!!!
  Mara nyingi hii mikwara na wewe ukiidindishia hua haina madhara!!!
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ipo siku kitaeleweka
   
 6. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mtoto ni mtoto tu hawezi kumpiga mkwara dingi yake.
   
Loading...