Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jman nliwahi uliza swali hili watu wakasema ooh serikali imesema itatoa ajira januari wakati kuna tetesi kuwa ajira zimesitishwa hakuna hela kuanzia wizaran hadi serikali jama habari hizi ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuuliza si ujinga..nimekuwa nikipanda ndege mara kwa mara,kwa safari za ndani na nje ya nchi..ktk viwanja huwa kunakuwa na mtu mbele ya ndege chini...ana vibao au vitu kama toch kwa nyakati za...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Pole sana mh.kikwete kwa matatizo yanayolikumba taifa lako,matatizo yote yanayo tokea ,ufisadi,mfumuko wa bei, kuongezeka kwa umasikin,uchumi kudolola,viongozi ktk serikali yako na wewe mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati ni huu kwa Kikwete kupunguza mawaziri Johnson Mbwambo Hata hili mpaka tuelekezwe na asasi za Bretton Woods? SIKU za karibuni nimekuwa nikifuatilia kwa karibu taarifa mbalimbali kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MNAMO Juni 12, 2011, Mbunge wa zamani wa jimbo la Kishapu, Fred Mpendazoe, alizindua kitabu chake kinachoitwa “Tutashinda” mjini Dodoma. Ifuatayo ni sura ya pili kwenye kitabu hicho ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia ambayo imejitokeza na inayozidi kushika kasi pale ambapo yanapotokea maafa kuna baadhi ya medi na kampuni binafsi kujifanya ni waungwana sana na kuhamasisha wananchi kuchangia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Joe kihampa ni mmoja wa watangazaji mahiri wa Jambo Tanzania TBC1 , tatizo alilonalo huyu bwana ni uoga wa kupitiliza wa kusoma vichwa vya habari katika magazeti ya kila siku, kuna baadhi ya...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Wakuu nakuja tena kwenu kuomba msaada. Ninajua hapa JF ni hazina kubwa. Peter mfanyakazi wa jikoni kule Girrafe hotel jijini Dar , ambayo inamilikiwa na watajwa hapo juu, ameanguka jikoni na...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Imekuwa kawaida kwa siku za usoni bwana lowasa kuchangia masuala mbalimbali huku akiita media kibao.Nadhani yupo kwenye kubembeleza kura za urais 2015.Nadhani anadhani tumemsahau kwa mabaya...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ndugu zangu nimeibiwa Tshs. 10,000 na Tigo-Pesa. Nilitaka kununua umeme wa LUKU kwa njia ya Tigo-pesa. Nikafuata taratibu zote wakanipa na reference number. Baada hapo sikupokea chochote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza kurudisha Mchujo kwa Wanafunzi watakaofanya Mtihani wa Kidato Cha 2 kuanzia mwaka huu!Serikali kupitia Wizara ya Elimu iliondoa mchujo huo miaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanajf; haya ni mawazo yangu, nini mawazo yako ktk hili? nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali ktk jf na nimekuja kugundua kwamba jf ina member wengi sana na ktk hao members kuna wanawake kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali ya kustaajabisha na kutishia usalama wa abiria na mali zao wafikapo uwanja wa ndege wa dar es salaam hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la ujambazi wa magari na sasa wamemaua kuaanza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilimuona Lowassa akiwa Kigoma kuchangia shughuli za ujenzi wa shule. Je haoni kuwa kwa shule ile ambayo hata madarasa hayo matatu hayakuwa yamefungwa linta yanamshushia hadhi...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Ni mwendelezo wa nilichokiona na katika hatua hii ya mwisho ntajaribu kuongea juu ya mambo yafuatayo Huduma za jamii,shule za kata ni nyingi matatzo ya shule hzi ni yaleyale ya siku zote ila kuna...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mkuu Masoud kipanya kwenye katuni hii lunch yangu imeshuka vizuri sana!
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nani amekwambia shoga aokolewi shoga aendi mbinguni loh sikiliza 99.2 fm shoga maarufu aka aunt odemba ama aunt mbiki ameokolewa akiadithia ana miaka mitatu sasa ajawahi kuonjwa wala kuguswa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo EWURA wanatarajiwa kutoa bei mpya za umeme kufuatia kukamilika kwa mchakato wa kuomba bei mpya uliowasilishwa na TANESCO. Ombi lao lilikuwa ni kupandishwa kwa 155% ya bei ya sasa. Hii ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
China imejaribu, imeweza na inasonga; yaani tower kubwa zaidi ya ile ambapo wakati inajengwa ilidaiwa Liumba kutafuna Bil 200, inajengwa kwa siku 15. Sio hadithi, angalia video: 30 STORIES...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Wanajamii, mi nimelazwa hapa Marangu Hospital tangu jana usiku, ila cha kusikitisha ni kuwa sijapata huduma inayostahili hadi sasa! Usiku nilipewa pain killers na dawa ya usingizi. Asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…