sikliza 99.2 aunt Odemba ampokea Yesu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sikliza 99.2 aunt Odemba ampokea Yesu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 12, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Nani amekwambia shoga aokolewi shoga aendi mbinguni loh
  sikiliza 99.2 fm shoga maarufu aka aunt odemba ama aunt mbiki
  ameokolewa akiadithia ana miaka mitatu sasa ajawahi kuonjwa
  wala kuguswa kama mwanaume...anasema amekuwa akimwomba
  sana Mungu aachane na hili lakini kila akifikiria hasira za MUNGU
  roho inamwambia acha acha

  WEWE UNAESEMA USHOGA NI LAANA YA UKOO AUACHI NANI KAKWAMBIA
  MSIKILIZE HUYU ALIEKUWA SHOGA MIAKA 8 AKAOKOLEWA KWENYE MKUTANO
  WA INJILI

  ONYO
  WACHUNGAJI WATU HAWA NI WATU WA KAWAIDA WANAITAJI UPENDO WETU WANAPOMPOKEA BWANA YESU
  SHARTI WALISHWE UPAKO WALISHWE CHAKULA CHA NENO NA SI KUWATENGA

  MUNGU AKUSAIDIE WEWE UNAEPISHANA NA SHHIDA HIII
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Wewe unaeteseka na tatizo la ushoga ipo siku mungu atakutoa huko
  muda na wakati ukifika hata mamako mzazi awezi kukuzuia kuokolewa
  mungu akubadilishe na kukutoa na laana hiliiiii
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  didy kwa habari za udaku upo juu sana....salute...
  back to the topic...heri yake kaokoka kwani siku ya hukumu i yaja na haitaangalia dhambi gani umetenda.
  Neema ya Bwana iwe nasi sote.......
   
Loading...