Gari lavunjwa vioo uwanja wa ndege airport kweupe!!!!!!!ka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari lavunjwa vioo uwanja wa ndege airport kweupe!!!!!!!ka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jan 12, 2012.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Katika hali ya kustaajabisha na kutishia usalama wa abiria
  na mali zao wafikapo uwanja wa ndege wa dar es salaam
  hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la ujambazi wa magari na
  sasa wamemaua kuaanza kuvunja vile vioo vya nyuma

  ni siku chache tumesoma kwenye magazeti uchafu wa uwanja wetu leo mchana
  huu kuna gari rav 4 t550 abk imevunjwa kioo cha nyuma ambapo mmoja wa abiria
  alipita akaamua kuita walinzi wa taa uwanjani kuja kuangalia ndipo wakajua ni mali
  ya staff wa precission air,,alipojulishwa alisema amesikia ako kamchezo kako na kanaongozwa
  na mmoja wa vijana wa uwanjani hapo wakishirikiana na wachafu kadhaa

  hata hivyo katika jambo la kustaajabisha walipofwatilia kuulizia kwenye cctv
  waliambiwa cctv aina uwezo wa kushika mpaka hapo na haapo ndipo ulakini
  unapoanaza kutokea......

  Binafsi napinga kamchezo haka kachafu ambacho kanalelelewa na wakubwa kadhaa na kuamini
  usalama wa uwanja uko m ashakani najiiuliza kama mtu anajjua cctv aifiki hapa si anauwezo wa kukoki
  mitambo yake na muda mchache uwanja ukageuka damu

  kwa halii hii ya hatari nashauri uongozi wa uwanja ukae chini kufikiria nini cha kufanya nakwanini
  cctv aishiki panapoibiwa inashika sehemu ambayo gari aziiibiwi..ukiibiwa gari unaambiwa hapa cctv aifiki
  cctv mbona ana ubaguzi hivi..nasema hili leo wezi wa magari wanavunja na kuiba laptop na mengineyo

  alshabab awaibi kitu wanaiba uwanja mzima na pengine wewe ni mkubwa wa uwanja unasoma hili tunapoelekeaa ipo siku alshab wakifanya mambo yao hata hewa ya kuongea utoipata nashauri
  muwe makini na kamchezo kadhaa kameanza kujirokeza watu wanabaki kwenye magari

  kama taa wameadhamiria hili basi wapige marufuku mtu kubaki kwenye magari aiwezekani watu wanaibiwa alafu unakuta nyuma ya gari iliioibiwa kuna watu wamelala kwenye gari uu ni upuuuzi tusiuendekeze hata kidogo
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Usalama umepelekwa zenji kwenye revolution day
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Ngoja nimtafute pdiddy
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,818
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Niko zanzibar napinduana na pweza revolution day jamani wacha nikamalizie ka per diem vizuri
  pole zao asiogope huyo tushazoe wengine ani pm nimpe dir ya ilala kwa wazee wampe kioo fasta
   
 5. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Upuuzi na uzembe wa watu watawala ya uwanja wa ndege Dar kuna siku utaleta maafa makubwa usipodhibitiwa na kama kawaida ya serikali ndio itaanza zimamoto ya kutatua tatizo
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kweli sisi tumelaaniwa tu hakuna kingine
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  poleni wahusika
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Kale katabia ka kutelekeza gari airport kwa siku 5 za safari inabidi tukaache sasa. Ila watu hawajifunzi, unakuta mtu ka-pack gari kwenye kiti kuna pochi, simu, laptop ama camera! Haya mliokuwa mnashangilia wizi wa GGM, hapa make kimya manake kuna mtanzania hapo kajipatia mkate wa leo. Coz tulikubaliana tutibu dalili na sio ugonjwa
   
 9. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,996
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  GGM ndiyo nini?
   
 10. s

  sanjo JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 937
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wanatafuta mbia wa kulinda uwanja!
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hili jambo linachekelewa na wahusika lakini linaota mizizi taratibu... baada ya muda litakuwa ni tatizo kubwa ambalo litahitaji kuunda kikosi maalum kukabiliana nalo wakati wangeweza kulimaziliza sasa hivi kwa kutumia nguvu kidogo tu ya kifedha na manpower
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,818
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Muda wa kuunda kikosi kazi ukifika
  nahisi itakuwa too late alshabab watakuwa washapita wataishia kukaa vikao na kula per diem
   
 13. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  GGM - Geita Gold Mine.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,172
  Likes Received: 4,505
  Trophy Points: 280
  Wambane Pdidy atasema tu!
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  sawa kabisa ndivyo sirikali yetu ilivyo..
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  ni Geita Gold Mine umeelewa sasa..
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,543
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kumbe ndo maana huwa wanaandika "Park at your own risk"
  Kama hali ndo iko hivyo ni heri wasiwe wanachukua parking fee.
   
 18. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,687
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  hivi na ule wizi wa mlimani city umeisha?
   
Loading...