Bruno, Hamisi Kindoroko na Charles Beacon (Girrafe hotel) msaidieni Peter kaumia kazini

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wakuu nakuja tena kwenu kuomba msaada. Ninajua hapa JF ni hazina kubwa. Peter mfanyakazi wa jikoni kule Girrafe hotel jijini Dar , ambayo inamilikiwa na watajwa hapo juu, ameanguka jikoni na kuvunjika hipss. Kwa bahati mbaya kaingia Muhimbili kakutana na mgomo na madaktari hali yake ni mbaya.

Najua Bruno uko madini na nishati, wenzako nk wako pengine ila chonde nawaomba jalini watumishi wenu msaidieni huyu kijana. Haiwezekani awe mzuri akiwa mzima na aumie kazini msijali hata wafanya kazi kujichangisha kumpeleka Muhimbili na nyie hamjali wala hamjafika kumuona.

Utu uwepo jamani na si zaidi pesa hizi tena nyingi ni zetu walipa kodi mnatumia kwa channels zenu tugawane na hasa nyakati muhimu kama sasa. Mwenye kuwajua hawa jamaa awape taarifa wakuu wampe msaada mpishi wao huyu .
 
Mkuu Lunyungu, mpe pole Peter, hivi ndivyo baadhi ya sekta binafsi inavyohudumia wafanyakazi wake!. Kazi yao ni bolt na Miili yao ni nut, anachojali bosi ni mashine izalishe!.

Akaumia anachosikitikia bosi ni hasara itakayotokana na kuumia kwake na sio majaaliwa ya afya yake after all bolt nyingine lazima itafutwe na kufungwa kwenye ile nut uzalishaji uendelee!

Poleni sana!.
 
Kwani huna namba ya huyo Bosi mpk uweke huku? yeye ni member?
Umesoma vizuri thread?..kama sivyo rudia!
Hii pamoja na kuwalenga watu fulani, inakufunza na wewe uenende vipi pale Housegirl wako anapougua!...huh!
 
Hii habari inasikitisha sana. Hivi vyama vya wafanyakazi wanafanya nini kwa mtu kama huyu Peter?
 
watanzania tusipofunguka kuhusu bima kila siku tutakuwa tunailaumu serikali au waajiri!!!!!mfano janga kama la mafuriko yaliyotokea hivi juzi na kuharibu mali za watu katika kinga ya moto victims analipwa!na hili la ajali kazini pia lina kinga yake!tufungukeni bandugu siyo kila inshu pelepete nyingi......tukitumia bima mbalimbali hizi stress zinaweza kupungua bandugu!
 
MKuu wangu unaongelea makampuni ya insurance ya Tanzania? I had a range rover was full covered ikaanguka pale Bagamoyo kugusa wahindi ilikuwa issue sana .Hakika insurance kwenye hii nchi ni hadithi kubwa kwa ufisadi huu kuanzia Ikulu hadi mtaani .
 
Natoa pole kwa Bw. Peter aliyepata. Suala lake linanikumbusha baadhi ya wamiliki wa mabasi ya abiria yanapopata ajali, kitu cha kwanza wanachoulizia ni kama Konda amepona na uzima wa gari. Masuala ya uhai wa abiria ni nje ya mawazo yake!
 
watanzania tusipofunguka kuhusu bima kila siku tutakuwa tunailaumu serikali au waajiri!!!!!mfano janga kama la mafuriko yaliyotokea hivi juzi na kuharibu mali za watu katika kinga ya moto victims analipwa!na hili la ajali kazini pia lina kinga yake!tufungukeni bandugu siyo kila inshu pelepete nyingi......tukitumia bima mbalimbali hizi stress zinaweza kupungua bandugu!

Kama mtu anaishi Bondeni au amepanga chumba kimoja tena Bondeni, hiyo pesa ya Bima atapata wapi?
 
Mpe pole sana jamaa aliyepatwa na matatizo, hawa jamaa wao waambie kuhudumia ma-miss hicho ndicho wanachojua wao..
 
Umesoma vizuri thread?..kama sivyo rudia!
Hii pamoja na kuwalenga watu fulani, inakufunza na wewe uenende vipi pale Housegirl wako anapougua!...huh!

kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Hamisi Kindoroko mpare yule mnamjua mnamsikia? yeye na baba yake wabahili kama nini, hawana hata ubinadamu!niliwahi kufanya tempo pale Haki Sec (shule anasimamia baba yake iko Tanga) yani ukipata emergence wanakata hadi mshahara!! Wanachojua ni kula wao na kuhonga mademu tu......, hawajui hata kuthamini wafanyakazi wao
 
Hii habari inasikitisha sana. Hivi vyama vya wafanyakazi wanafanya nini kwa mtu kama huyu Peter?

CHODAWU wako pale Kariakoo wanasubiri Kupokea 2% za makato kwa mfanyakazi kila mwisho wa mwezi lkn kuangalia mazingira ya mfanyakazi ambaye ni mteja wao hakuna.
kutokana na hili wafanyakazi wanahaswa kuwa wanatoa taarifa kwenye mamlaka zinazohusika na mazingira ya mfanyakazi mahali pa kazi k.v OSHA na Idara ya kazi chini ya Wizara ya Kazi na Ajira: ili penye matatizo ushauri utolewe kwa nia ya kubolesha mazingira ya kazi.
Pole sana Peter
 
Poleni sana laiti angekuwa hata na bima ya afya. jipigeni pigeni ili apate matibabu mkuu.
 
CHODAWU wako pale Kariakoo wanasubiri Kupokea 2% za makato kwa mfanyakazi kila mwisho wa mwezi lkn kuangalia mazingira ya mfanyakazi ambaye ni mteja wao hakuna.
kutokana na hili wafanyakazi wanahaswa kuwa wanatoa taarifa kwenye mamlaka zinazohusika na mazingira ya mfanyakazi mahali pa kazi k.v OSHA na Idara ya kazi chini ya Wizara ya Kazi na Ajira: ili penye matatizo ushauri utolewe kwa nia ya kubolesha mazingira ya kazi.
Pole sana Peter

CHODAWU ni mafisadi tu, kwanza ni vilaza sana wa haki za wafanyakazi na sheria za kazi pamoja na procedures za mashauri yanayohusiana na kazi hawajui, na tatizo kubwa ni kuwa wanaajiri watu ambao sio professional ktk sheria hasa isue za kazi.kwa hiyo usitegemee msaada wowote kutoka Chama cha wafanyakazi kama Chodawu.
 
Pole sana kijana aliyevunjika HIPS!! asijali mungu atamsaidia HIPS zitarudi kama zamani.
 
MKuu wangu unaongelea makampuni ya insurance ya Tanzania? I had a range rover was full covered ikaanguka pale Bagamoyo kugusa wahindi ilikuwa issue sana .Hakika insurance kwenye hii nchi ni hadithi kubwa kwa ufisadi huu kuanzia Ikulu hadi mtaani .

Hayahaya mkuu!watu wanalipwa tena wamiliki wa magari yanayopata ajali hulipwa bila matatizo!staki kuamini kama ulikuwa na comprehensive usilipwe!hamna hata kampuni moja ya bima tanzania utayoingia nayo mkataba wa bima wasikulipe!tatizo labda baadhi yao watakucheleweshea malipo na kwa ushindani wa biashara kila kampuni inajitahidi kulipa mapema madai!ukipata ajali next time hhakikisha nakala muhimu za police unapata na dereva awe na leseni!ukiritimba wa enzi za NIC haupo tena
 
Hamisi Kindoroko mpare yule mnamjua mnamsikia? yeye na baba yake wabahili kama nini, hawana hata ubinadamu!niliwahi kufanya tempo pale Haki Sec (shule anasimamia baba yake iko Tanga) yani ukipata emergence wanakata hadi mshahara!! Wanachojua ni kula wao na kuhonga mademu tu......, hawajui hata kuthamini wafanyakazi wao

Urembo wako ulihongwa ngapi na wewe kama siyo umbeya tu unakusumbua?

Mkuu, ni-pm details za huyo Peter (at least jina lake la pili), na section anayofanyia kazi nione kama naweza kumsaidia.
 
Back
Top Bottom