Masoud Kipanya, You just Made My Day

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Mkuu Masoud kipanya kwenye katuni hii lunch yangu imeshuka vizuri sana!



Masoud KP.jpg
 
Mkuu huyu huwa anasema kitu halisi bila kumung'unya maneno msikilize kwenye kipindi chao cha asubuhi times fm 06-09 am
 
Sioni kama kweli tanzania ina mihili mitatu isiyoingiliwa na ccm!katiba mpya ndio suluhisho
 
magamba masikio walisha ziba na pamba yaani hawasikii wao kila kitu ni kupotezea
 
Back
Top Bottom