Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

:juggle::juggle:Nimechnganywa na vyombo hivi viwili hebu wana jamvi mlipo sehemu ya tukio mtujuze vizuri inakuwaje.:juggle:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa FFU waliopo hapa UDSM na madefender yao siyo siri 2mewachoka tumechoka hatusomi kwa raha, ukitembea unakutana nao wameshika mabomu, yani hakuna Amani kwakweli mnasoma kwa mitutu.Hapa hall 5...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi maswali yanayo ulizwa ITV kupitia Kipindi cha kipima joto Hua yana jibiwa na watu wangapi? Walio jibu ndio ni asilimia 10 na walio jibu hawajui ni asilimia 90 hapana hakuna Hizi asilimia za...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Jamani ninashauku ya kujua katika kipindi cha magazetini asubuhi Redio One, kwa mfano kama kila inapofika siku ya Jumatano watatusomea vichwa vya habari karibuni yote kasoro magazeti ya Udaku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hawa jamaa walio katika kitengo cha mita za Luku wanaendekeza rushwa ile mbaya. Kama wewe ni mteja mpya unaesubiri kufungiwa mita, au mteja ambaye ulishafungiwa mita ikakorofisha na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Singida, limekataa kutii amri haramu ya Mkuu wa Mkoa huo ya Kumkamata Mwenyekiti wa Baraza la vijana Mkoa wa Singida, ndugu Josephat Isango hadi pale Mkuu huyo atakapofika...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Maeneo ya UDSM, Mwenge, mlimani city si salama kabisa. karibu kila siku watu wanalizwa, kama sio kuibiwa kitu ndani ya gari basi wanaiba kifaa cha gari. haijapita wiki jamaa yangu kaibiwa Laptop...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Majambazi yavamia duka la vileo maeneo ya Hurumzi Mjini Zanzibar na kuwapiga risasi wauzaji waliokuwemo ndani. Source: Zenj Fm Breaking news.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Picha kutoka katika maktaba ya nifahamishe Sunday, January 08, 2012 9:22 PM Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti tukio la kuhuzunisha lililotokea mkoani Shinyanga. Tukio hilo linahusiana na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
THREE hundred furious staff at a factory that builds Xbox 360s have said they will commit mass suicide if their wage demands are not met, it emerged today. Employees at electronic giant...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu mwaka jana kumekuwa na taarifa kwamba serikali inafanya utaratiwa utakaoiwezesha kudhibiti ulipaji mishahara kwa watumishi hewa. Njia pekee na rahisi iliyokusudiwa kutumika ni kupanga siku...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kutokana na hukumu yake katika kesi ya mwandishi huyo dhidi a msanii Diamond. Mwandishi huyo alishitaki kesi ya jinai kwamba amepigwa na Diamond pamoja na wenzake. Katika hukumu ya Mahakama ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wewe ni mwajiri na unataka kumwajiri Project Manager wa kusimamia miradi ya utoaji huduma ya ushauri (consulting service delivery projects) kwenye kampuni yako. Umepokea CVs kwa ajili ya hii...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
katika mjadala unaoendelea star t.v mheshimiwa ismail jussa ameulizwa swali kwamba ana uhusiano gani na rostam aziz? jibu lake likawa: rostam azizi ni rafiki yangu kama alivyo david...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nasafiri na gari moja la abiria linaloelekea vijijini huku ruvuma songea.kama kawaida mdahalo kt y drv n trfk ulnz hofu yangu ni kwamba inaonekana hz lsn zmchlwshw kw mksd ili kwp ulaji hawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hii ndio historia ya wanasayansi wa kiislam ambayo nchi za magharibi hawataki ulimwengu hasa huku afrika tufahamu, leo naleta historia ya mwanasanyi ambaye alikuwa anjulikana kama daktari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana hii ndio OIC, wanaopinga wana chuki binafsi ndio maana mwanaseminari MEMBE aliikubali ila akatishwa na maaskofu.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wiki iliyopita kuna mwana JF mmoja alimponda sana mwandishi huyu (Nyaronyo Kicheere) ambae sasa anaandika makala zake kwenye gazeti la Mwana Halisi kila Jumatano. Nalikubaliana nae kwa kipengele...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili swala la tanesco mkuu huku tunalipa luku karibu 3800 kila mwezi kwa madai ni service charge yaan hiyo unatoa bila kupata unit hata moja ivo waweza jikuta katika kum elfu unapata unit chache...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Back
Top Bottom