Masikini pole,hizi ni laana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikini pole,hizi ni laana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaslaws, Jan 13, 2012.

 1. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,140
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Pole sana mh.kikwete kwa matatizo yanayolikumba taifa lako,matatizo yote yanayo tokea ,ufisadi,mfumuko wa bei, kuongezeka kwa umasikin,uchumi kudolola,viongozi ktk serikali yako na wewe mwenyewe kuropokwa,n.k,n.k yote hayo hayatokei kwa bahati mbaya,mh ukweli ni kwamba umelaaniwa,uliba kura zetu ukalazimisha kuapishwa nakua rais,ukwli ni kwamb wewe haukua changuo letu,bali Dr W.P.SLAA ndo changuo letu na atabaki kua changuo letu.Mh.ustafute mchawi ktk uongozi wako ni wew mwenyewe hzi ni laana kwa dhuluma uliyoifanya ku2ibia kura zetu,ila msing ulilofanya na 2nashukuru ni kukomaza kiswahi kwa kurudisha baadh ya misamiati iliyo kua inapotea kama..kwapua,limbikiza,kujitwalia, pigambizi,fisadi,n.k.mwsho, nakuonea huruma sana Mh,hii laana itakuandama tu na bado,..cha msing tunachokuomba ni tuachie nchi yetu ukapumzike uko kwenu,laana unazo wewe ila mateso tunapata sie chondechonde mh..!
   
 2. N

  NGONYA NM Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aachie ngaz dr wa ukwel ambae ndo chaguo le2 aendesh nchi. Na bdo waliompa kura jk nao pia wamechangia hii laana! Itawala nawao
   
 3. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ni laana, basi imefika penyewe haswa.
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa inabidi wananchi tufanye maamuzi magumu
   
 5. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hii laana ni balaa tupu inawala wote hata wasiompigia kura jamaa I mean JMK.
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi sipo,nimeshaanza kutafuta uraia wa rwanda.
  muda si mrefu hamtaniona tz.
   
 7. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata neema ndivyo ilivyo. Mungu hunyeshea mvua wote, waovu na wachamungu.
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mamluki utawajua tu.
  OTIS
   
Loading...