Heeee!!eti ajira zasitishwa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heeee!!eti ajira zasitishwa!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LOOOK, Jan 12, 2012.

 1. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Jman nliwahi uliza swali hili watu wakasema ooh serikali imesema itatoa ajira januari wakati kuna tetesi kuwa ajira zimesitishwa hakuna hela kuanzia wizaran hadi serikali jama habari hizi ni kweli?na mbona ajira hazijatoka hadi leo kwa walio sema zitatok mwenye jambo kuhusu hili.
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,397
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Soma signature yangu hapo chini
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,397
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Serikali yako, si tu kwamba kwa sasa haina fedha za kuajiri watumishi wapya, Bali Haina hata Fedha za kuwalipa Mishahara hao wafanyakazi wake waliopo katika Ajira sasa hivi.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Twafa... sasa tutaishije?
   
 5. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 952
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Sikio la kufa halisikii dawa...bye amani ushwara ya Tanzania.
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Serikali yenye viongozi wenye matanuzi kazi ipo.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Mwezi huu zimetolewa ajira 3600 kwa maafisa ugani wa kilimo, huenda zitaendelea kutolewa kwa walimu pia.....tuwe na subira!!
   
 8. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mtaishi kimachale machale hivyo hivyo!
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,201
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  pigeni mbizi.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,313
  Likes Received: 14,584
  Trophy Points: 280
  hahahhahahahaha...au wale majani
   
 11. B

  Buto JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  warudi kijijini wakalime mpunga kule ubaruku-LUJEWA
   
 12. bona

  bona JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,797
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  kwani ni lazima ufanye kazi serikalini, kuna sekta binafsi hata kujiajiri!
   
 13. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,279
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mfuge kuku unajua hii kazi inalipa sana....
   
 14. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,370
  Likes Received: 1,566
  Trophy Points: 280
  Vuta subira, kama ipo ipo, anything can hapen though.....
   
Loading...