Lowassa na Michango!!!!

Mamatau

Member
Jan 6, 2012
84
6
Hivi karibuni nilimuona Lowassa akiwa Kigoma kuchangia shughuli za ujenzi wa shule. Je haoni kuwa kwa shule ile ambayo hata madarasa hayo matatu hayakuwa yamefungwa linta yanamshushia hadhi? Angeweza tu kuwapelekea mchango wake huo wa milioni 60.5 bila yeye mwenyewe kushiriki!!!! Au alikuwa na ajenda nyingine ? Naona anahitaji kupima aina ya shughuli anazoshiriki mwenyewe kwani nyingine zinamdhalilisha. Au tuseme alitakiwa yeye ndio akajenge kila kitu? Kwa kweli shule ile haikuwa na hadhi ya yeye kusafiri toka Monduli hadi huko!
 
Acha fitina we bwabwa nini, tupe ushahidi wa hicho unachokiongea. Je wanaochangia majengo ambayo hata msingi hayana? Unajua maana ya harambeee wewe? Nenda kalale we mama......................
 
Back
Top Bottom