Msaada Tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngaliba Dume, Jan 13, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kuuliza si ujinga..nimekuwa nikipanda ndege mara kwa mara,kwa safari za ndani na nje ya nchi..ktk viwanja huwa kunakuwa na mtu mbele ya ndege chini...ana vibao au vitu kama toch kwa nyakati za usiku,je mtu huyu hasa kaz yake ni nin?na ni utaalamu wa fani ipi?au ni sawa na trafik?na mafunzo yao yapo wap?nimepata shda kumjibu Mwanangu mana ameniulza swali ilo wakati tuktoka likizo ya mwisho wa mwaka!msaada wenu Tafadhali..
   
Loading...