Serikali imekula matapishi yake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali imekula matapishi yake!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpigaji, Jan 12, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza kurudisha Mchujo kwa Wanafunzi watakaofanya Mtihani wa Kidato Cha 2 kuanzia mwaka huu!Serikali kupitia Wizara ya Elimu iliondoa mchujo huo miaka iliopita na wanafunzi waliofeli waliruhusiwa kuendelea na Kidato cha 3!Baada ya Wanafunzi wengi kufeli mwaka 2010,utafiti ukaonyesha ni matokeo ya kuondolewa kwa mchujo ndiko kulipelekea wanafunzi wengi kufeli!Sasa mchujo umerudi tena,je hali itakuwaje kwa shule za Kata ambapo wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika "HUCHAGULIWA" kujiunga nazo?Imefika wakati "SIASA" isiingizwe katika "TAALUMA"!
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Hawajui walitendalo, hatutawasamehe ng,o!
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,516
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Kama mchele ndio 'staple' food of asians, basi matapishi ndo staple food ya serikali ya nchi ya tanzania
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanazidi kuchemsha
   
Loading...