Jukwaa la siasa inaanza kunipa jibu la wabunge wa vitu maalum katika bunge la jmt. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la siasa inaanza kunipa jibu la wabunge wa vitu maalum katika bunge la jmt.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JATELO1, Jan 12, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  wanajf;
  haya ni mawazo yangu, nini mawazo yako ktk hili?
  nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali ktk jf na nimekuja kugundua kwamba jf ina member wengi sana na ktk hao members kuna wanawake kwa wanaume. Japo ni vigumu kutambua gender za members; lkn ukifuatilia thread hasa zinazohusu mambo ya gender utaweza kupata picha fulani kuhusu gender ya member fulani. Na ktk hili nimegundua kwamba tofauti kati ya wanaume si kubwa sana ktk jf.

  Sasa turudi kwenye hoja yangu ya msingi; nikifuatlia michango mingi sana ya members ktk majukwaa yote; napata picha fulani kwamba wanaume wamekuwa na mwamko mkubwa sana katika jukwaa la siasa kuliko dada zetu ambao wameonekana kuwa active sana ktk jukwaa la mmu na chit-chat. Sasa picha ninayopata ni kwamba; labda wakinamama mambo ya kisiasa hawapendi/hawataki kujishughulisha nayo ndiyo maana hata michango yao ktk jukwaa la siasa imekuwa kwa nadra sana. Yaani ni wakinamama wachache sana wenye kutoa michango yao hapo, na si ajabu yawezekana hata wengi wao hawapendi kutembelea jukwaa la siasa.

  Hivyo basi, napata jibu la kuwepo kwa viti maalum ktk bunge letu la jmt. Hayo ni maoni yangu na nipo tayari kukosolewa.
  Nawasilisha.
   
 2. m

  massai JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tatizo
  la
  jf
  i
  love
  u
  ni
  kama
  hakuna
  vile,wapo
  facebook
  mwanangu
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hata jf wapo lkn wanachangia sana kwenye jukwaa la mmu na chit-chat.
   
Loading...