EWURA kutangaza Bei mpya ya Umeme

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za nishati na Maji(EWURA) leo inatarajia kutangaza bei mpya ya Umeme,baada ya kupokea maombi ya TANESCO
SOSI:MWANANCHI
MY TAKE:WATANZANIA TUJIANDAE NA KIBANO KINGINE,JAPO MSEMAJI WA EWURA AMEWATOA HOFU WATANZANIA HASA WA HALI YA CHINI KUWA HAWATOATHIRIKA,SIDHAN KAMA HILI LINAUKWELI
 
wanaongeza bei ya umeme wakati wanazidi kupunguza nguvu ya umeme kwenye makazi ya watu.
siku hizi umeme hauna nguvu kabisa, kuna baadhi ya vifaa hata haviwaki kabisa.
 
wanaongeza bei ya umeme wakati wanazidi kupunguza nguvu ya umeme kwenye makazi ya watu.
siku hizi umeme hauna nguvu kabisa, kuna baadhi ya vifaa hata haviwaki kabisa.

jeji kuongeza umeme kwa sasa ni kumtania MTANZANIA,na kuzidi kumpa mzgo
 
Back
Top Bottom