Wakazi wa kaloleni wagoma kuhama kupisha uwekezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi wa kaloleni wagoma kuhama kupisha uwekezaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Jan 11, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wakazi wa kota za kaloleni mjini arusha wamegoma kuziachia nyumba zao ili kupisha uwekezeja.hili limetokea leo walipokutana na mkuu wa mkoa.wahoji muekezaji huyo ni nani?
   
 2. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanatishia nyau...nyau...nyau..
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Ni kweli wanatishia nyau! If we put politics aside, these fellow have no choice. Municipal council is the owner of the houses and are the one who sign the contract with mwekezaji. Hawawezi kulipwa fidia maana ni wapangaji tu. Sio wamiliki.

  Kitu ambacho sisi wakazi wa Arusha tukiwa na mbunge wetu tunakipinga ni utaratibu mzima wa kumpata huyo mwekezaji. Utaratibu umejaa rushwa ikiwemo ya madiwani wa ccm kupelekwa uarabuni eti wakaone uwekezaji wa huko wakati kuna ramani na prototype za mradi mzima! Tenda haikutangazwa na hivyo kukiuka sheria ya manunuzi. Hapo ndio kwenye tatizo
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Celebral Malaria weka source basi.
   
 5. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajisumbua! lazima tubadilike na twende na wakati.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kumbe na wewe umeliona hilo?!.
   
 7. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakika! Tuache siasa uchwara na tuwaelimishe wananchi na tuwaambie ukweli. Tuache tabia za kuangalia mbele za pua zetu tu, tuwe na viongozi wenye kuona mbali zaidi na tuangalie mustakabali mzima wa jiji letu kwa vizazi vijavyo.

   
 8. I

  Imnyagi Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukiacha siasa zile nyumba ni za halmshauri ila tuje na hoja hivi inaingia akili kuwahamisha watu kumpisha mwekezaji ambaye vikao vinafanyikia Arusha hotel na hakuna zabuni iliyotangazwa hakuna harufu ya ufisadi hapa jamani?
   
 9. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tukiwa tunafikiria kila kitu cha maendeleo kuna ufisadi basi hatufiki mbali hata kidogo. Nimeona pia mahali sikumbuki kama ni hapa JF au kwenye magazeti eti kuna ufisadi kwenye daraja la kigamboni! Kikao cha New Arusha kilikuwa cha wazi na kilikuwa ni cha wadau wa Arusha, watumishi wa halmashauri pamoja na baadhi ya madiwani wa vyama vyote.
   
 10. m

  massai JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  gazeti
  gani
  lilitangaza
  hiyo
  tenda??na
  kwamuda
  gani,kamasio
  ufisadi
   
Loading...