Msaada wana JF kuhusu NBC bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana JF kuhusu NBC bank

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vmark., Jan 10, 2012.

 1. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Holla Amigos! Mi ni mteja wa nbc tangu mwaka 2007 na nilifungua student account kipindì hicho na nimei2mia from that tym had mwaka huu. Weirdly leo nimeenda ku withdraw my money kwnye branch ya moshi nilichojibiwa ni 'account status' na cjaweza kudraw hela hadi nikakwama nauli ya kurudi kazini! Kuingia customer care wakaniambia niende nilipofungulia account yangu yaan nbc mlimani bt wakti namalizia my s tudie pale udsm nilienda bank nikawauliza ka naweza kuendelea na tht account na wakanambia ts k! So at the end of tha day wamesema access ya pesa zangu hadi niende udsm mlimani contrary to tht im done, and nahitaji my money mostly! Help me guys but ua facts should base on professionalism! Welcome guys!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndivyo ilivyo nbc anyway nenda kwenye facebook ingia fan page ya Wadau wa NBC..
   
 3. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Asante ndetichia! Uko fasta xana mkuu and thanx 4 ua concern pal!
   
 4. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Pole sana, kwakweli wamekunyanyasa tu, ila je ulienda kwa branch manager? Maana haipendezi mtu akafanyiwa hivyo? Pia nilazima ujuwe sasa hivi kunazowez lakukusanya data za wateja ya tunasema KITAALAMU (KYC), KNOW YOUR CUSTOMER. Hili zowezi ni la mabank yote ila nadhani niwatu kutokuelewa walipaswa wakusaidie nakukupa msaada stahiki. Pia ungepata ushauri mzuri ulipaswa kufungua akaunti nyingine ya akiba kutoka hiyo ya student. Ungekuwa seif zaidi. Well tafadhali just call me nitakusaidia maana naumia sana mteja kupata shida while anaweza saidiwa. Just call me 0784261985. Here i'm to help u. Thx.
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Mkuu thnx a lot and i wil cal u in a mean tym! U real impress me wit ua comment buddy!
   
 6. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  student account for the case of nb nijuavyo si permanent account na ukifikia umri flani huwezi kuendelea kuitumia.unachotakiwa kufanya ni kuuliza kwa sahihi nini kimefanyika mpaka huwezi access act yako.pole na nachokushauri hata baada ya kupata suluhu ya hiyo issue fungua acc nyingine ili upate huduma inayokufaa .Nakutakia kila la heri na utakapo msaada wowote wa kibenki kuhusu nbc nipm i might be of help to yyou.karibu
   
 7. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ngoja nimalizie haka ka mwisho nitarudi
   
 8. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  thnx swri gal bt nliwaulza kama naweza kuendelea wit tht account afta ma studies na walisema t gonna b k! Wat i wonder is tht were they not sure wit their decisioun? Im xo skeptical jus help me swiri gal!
   
 9. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Achana na NBC- Tena Haraka sana.

  Kwa wale tunaopenda kuagiza mizigo Nje, Tunaijua vizuri. kuna makampuni mengine yamelist Benki ambazo tunaweza tumia Pesa ziwafikie haraka. NBC is no where to be seen on that List.

  NBC Haiko kibiashara kabisa. ningepata jinsi ya kuongea na wahusika kula SA ningewapa vidonge vyao tu.
   
 10. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wanatia hasira sana hawa na mimi ntawahama kabisaaa maana salary yangu inapita huko nisije nikachakaa maana maisha yenyewe ndo haya alaaahhhhhhhhh
   
 11. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Thnx guys for ua advices! Ntaufanyia ushauri wenu kaz coz im tired wit these gud for nothing moles!!
   
 12. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Hellow Vmark, sory kwa kuchelewa.
  Kwa maelezo yako kuwa umeenda kwenye Atm na imesema 'Account status' inamaanisha either account yako imefungwa, yaani closed, au dormant au blocked.
  Nakushauri rudi tn hapo tawini ulipokwenda then angalia km wameweka posters za customer care phone numbers ili uongee na headoffice customer care moja kwa moja.
  Naimani problem yako itakua solved.
  Nafkiri inawezekana mmekosana kufahamiana na hapo cust care.
  Pole sn.
   
 13. p

  pilu JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa unahitaji ka kiasi gani ?
   
 14. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  mbona hata mimi natumia hiyo hiyo? Sema sasa hivi wana hivyo viprogram vya kukusanya data na kubadili atm card za zamani na kutoa master card. Hivyo wanaziblock hizo card ili ukienda wakubadilishie ama ujaze hizo 4m za info. Hao jamaa walistahili wakupe 4m ujaze wazitume kwenye branch yako.
   
 15. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kwa sasa nshafika kazn xo ntaenda kuwachk nbc hapa nilipo then ntatoa feedback guys! Thnx 4 ua helpful contributions! B blessed!
   
 16. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  thnx angel nylon...4 nau nshatoka pale nlipoenda kutoa hela xo kesho ntaenda kucheki tena and i wil let u knw tht! Ubarikiwe xana mpendwa!
   
 17. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  asante mpendwa bt cja2ma hii post nikihtaji msaada wa kifedha.....count me yes out of tht help of yours folk!!
   
Loading...