Uongo Wa Serikali Wakwamisha Ujenzi wa Viwanja vya Miradi Jijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongo Wa Serikali Wakwamisha Ujenzi wa Viwanja vya Miradi Jijini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Jan 11, 2012.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  serikali kwa kushirikiana na Manispaa waribuni miradi ya viwanja elfu 20, ili watu wajenge makazi bora, viwanja viliuzwa bei ghali sana ukilinganisha na kipato halisi cha Mtanzania, watu waliangaika sana kuvipata, baada ya kuvipata , waliahidiwa huduma muhimu ya kijamii, kama vile maji, umeme, barabara na hospitali, basi watu kwa kujua kwamba serikali iko makini na imewakumbuka wakaanza ujenzi kwa shida sana maana huduma ya maji hakuna kabisa, bara bara zilijengwa hovyo sana kiasi kwamba sasa ni mashimo ya kuzika mtu. Kuna tishio kuwa watu wote wanaohozi viwanja bila kuviendeleza watanyanganywa, ili nakubaliana nalo, lakini kwa nini serikali ili uza viwanja bei ghalii kwa kisingizio cha kuweka huduma ya maji na umeme? je pesa hizi za mradi ziko kwenye mfuko wa nani? Kwa watumishi wa serikali ambao sio waaminifu walijiwekea viwanja vingi kiasi kwamba ukiwa karibu navyo tegemea misitu mikubwa maana shamba la mtu linaogopesha kuingia na kufyeka maana watu wengi wamekula pini hawaonekani kabisa.
  Kama kweli Mama Tibaijuka anafanya kazi vizuri basi aanze kuvizungukia au aje tumpe orodha ya wafanyakazi waliojilimbikizia viwanja na kutuwekea vichaka hatari, siku hizi vichaka hivyo ndio machinji ya ng'ombe na mbuzi wa wizi
   
 2. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Huo ulikuwa mradi wa Katibu Mkuu aliyepita Salome Sijaona, baada ya hapo akabuni mradi wa uendelezaji maeneo pembezoni kama Luguruni Kigambani n.k, hapo ndipo tulipokamata mwizi men!! hivi sasa yuko Japan kama balozi wetu. NHii ndio Tanzania
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  walituweza kweli, sasa basi waje na orodha ya majina ya watu wote walijimilisha viwanja vingi watuondolee vichaka, sijui Halima Mdee kasinzia?
   
Loading...