Upatikanaji wa leseni mpya za madereva imekuwa ulaji kwa matrafik

Mbundenali

Member
Jan 9, 2012
64
37
Leo nasafiri na gari moja la abiria linaloelekea vijijini huku ruvuma songea.kama kawaida mdahalo kt y drv n trfk ulnz
hofu yangu ni kwamba inaonekana hz lsn zmchlwshw kw mksd ili kwp ulaji hawa polis
wakuu hl lmkj?
 
Leo nasafiri na gari moja la abiria linaloelekea vijijini huku ruvuma songea.kama kawaida mdahalo kt y drv n trfk ulnz
hofu yangu ni kwamba inaonekana hz lsn zmchlwshw kw mksd ili kwp ulaji hawa polis
wakuu hl lmkj?

Hebu jifunze kwanza kuleta post zenye kueleweka kabla ya kuandika hapa. Tumia lugha inayoeleweka kwa kila mtu na usifikiri JF ni sehemu kama face book ambako mnatumia hizo abbreviations za kitoto!!!

Tiba
 
Daah! tunako elekea kumbe miandiko itabadilika na hii ni hatari sana kwa kushuka kwa elimu yetu
 
Wakati mwingine tunawalaumu hawa trafic buuureee.... Unafahamu kwamba demand ipo direct propotional na price? Kilichowafanya wasibadili kwa uliopangwa ni nini? Mi nilibadili ndani ya siku 3 (not class C). Unaanza utaratibu leo kesho kutwa unachukuwa. Tatizo la waTZ wengi ni kufanya kila kitu kama idara ya zimamoto. Mnangoja moto uwake ndo mnaanza kuhangaika. Utaratibu huo ni wa majanga tu.
 
hizo abbreviation zenu. mweeeh. Usituletee mambo ya sms na fb hapa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom