Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ndg wanajf, kwa yeyote anayejua namna awa jamaa wanavyokokotoa kodi hasa ya gratuity naomba anijuze kwani katika taasisi yetu kuna utata wa namna awa jamaa wanavyokokotoa hii kodi. kwani kuna visa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakazi wa tank bovu kando ya mto mbezi wamehujumiwa hawakuhorodheshwa kwa madai ya kuwazuia wachimba mchanga!kwakuwa wachimba mchanga wanaharibu mazingira!na wanapeleka hesabu kwa mtendaji wa kawe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF. Polisi mkoani Lindi wakishirikiana na kitengo cha madawa ya kulevya, wamewakamata watu wanne raia wa Tanzania.. Wanaume wawili na wanawake wawili mmoja ni mtoto wa Liyumba, wakiwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kuonyesha mwisho wa dunia umekaribia nabiina mtume onesmo ndege amelipua bomu leo kupitia mch wa mbeya aitwaye dk tumudike dk huyu ambae amekuja kwenye kanisa kuhubiri semina na kongamano...
2 Reactions
35 Replies
10K Views
Jamani ni mbio za Urais 2015 ama ni ubinaadamu alonao x-spika..? nimeona picha yake akiwa kwenye msiba wa mzee wetu KIPARA ( PWAGU)............?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema yaandaa maandamano kupinga bei mpya ya umeme Wednesday, 22 December 2010 20:07...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Madaktari wameanza kuwasili kutoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya mkutano wao wa dharura siku ya Jumamosi kesho saa tatu kamili kujadili swala la sekta ya afya nchini na maslai yao...Je yanataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabunge wa ccm wana mkutano wa hadhara.wabunge walioteuliwa na rais ndiyo wamekuja kuelezea mchakato wa katiba mpya.nitawajuza kadiri ninavyoweza.kwa mbali namuona mkuu wilaya dan makanga yupo na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
The world's newest snake has menacing-looking yellow and black scales, dull green eyes and two spiky horns. And it's named after a seven-year-old girl "MATILDA' Matilda's Horned Viper was...
5 Reactions
65 Replies
13K Views
Wadau habarini,hivi hizi mimba za kupandikizwa zinaweza kupandikizwa kwa kila mwanamke au kuna mazingira yanayoweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na kwa mfano wale wanaopandikizwa huwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuanzia Tar 15 Jan 2012, Bei mpya ya umeme itatumika na hii itaendelea kumuumiza mtanzania wa kawaida hali kadhalika na wazalishaji wanaotegemea nishati hii. Tunategeme kila kitu kupanda kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The world's newest snake species has menacing-looking yellow and black scales, dull green eyes and two spiky horns – and it's named after a seven-year-old girl. Matilda's horned viper was...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
"Tukubali ukweli kuwa Tanzania haiwezi kusogea kwa kubadilisha hali ya kisiasa tu peke yake, ila kwa kutambua kuwa kila mmoja wetu anayo nafasi yake kwa mfumo wake na anaweza kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dah! Jamani sikuwa najua kwamba Wafanyakazi wa Tanesco walikuwa hawalipii umeme!! Leo ndiyo nasikia. Nchi hii bwana!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna mshikaji wangu anaishi namibia yeye na kakake,kakake kaoa,.jz wakarudi home na mke wa kakake,walivokuwa wanakaribia kutua uwanja wa ndege,wakatangaziwa intanational airport nyerere wakati...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanajamvi salaam sana. Nipo najiuliza hapa kuwa na kesho ni siku ya mapumziko kwa nchi hii iliyo ya pili kutoka mwisho kwa umasikini (Sijui ni mapumziku ya nini lakini). Ukiangalia hali ya kipesa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF kwa nini serikali yetu haitaki kuwajibika kwetu? Mimi kwa mtazamo wangu naona njia mojawapo ya kuleta ufanisi katika mashirika n aidara za serikali ni kuzibana menejimenti zifanye kazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Ninairudisha thread hii katika mtizamo mwingine ili pawe na uwanja mpana zaidi wa kuijadili. Wakati kuna mtafaruku wa kuwa EL alistaafu na heshima anayostahili katika jamii ni vizuri tuangalie kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kheri ya Mwaka Mpya Wana JF, jana jioni nilipokea ujumbe (txt msg) ukisomeka ifuatavyo "Tuadhimishe mapinduzi au tuililie Zanzibar? Jee unajua: ZNZ ilikuwa na taa za barabarani kabla ya London...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jman nliwahi uliza swali hili watu wakasema ooh serikali imesema itatoa ajira januari wakati kuna tetesi kuwa ajira zimesitishwa hakuna hela kuanzia wizaran hadi serikali jama habari hizi ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…