Menejimenti kwa mkataba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Menejimenti kwa mkataba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by O-man, Jan 13, 2012.

 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana JF kwa nini serikali yetu haitaki kuwajibika kwetu? Mimi kwa mtazamo wangu naona njia mojawapo ya kuleta ufanisi katika mashirika n aidara za serikali ni kuzibana menejimenti zifanye kazi kwa mkataba ambao utambana mpaka aiyewateua na au kuwaajiri. Sijui hili mnalionaje?
  Kwa hali ilivyo sasa mtu akiboronga godfather anaingilia mchakato wa kumuwajibisha. Ujio wa katiba upo mbali mno na baada ya miaka minne tutajikuta tumekuwa watumwa wa nchi fulani ambayo imetubail out kwenye janga.
   
Loading...