EWURA wamebariki TANESCO kupandisha bei ya umeme! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EWURA wamebariki TANESCO kupandisha bei ya umeme!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Ubwete, Jan 10, 2012.

 1. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuanzia Tar 15 Jan 2012, Bei mpya ya umeme itatumika na hii itaendelea kumuumiza mtanzania wa kawaida hali kadhalika na wazalishaji wanaotegemea nishati hii. Tunategeme kila kitu kupanda kuanzia mkate, maharage,petrol mpaka Kodi za nyumba ijapokuwa mshahara hauna dalili ya kuongezwa. kwani tunafanya ''Austerity measures" kama nchi. Je Tutafika??
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante kwa taarifa. Source?
   
 3. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tazama magazeti ya leo utajua kwamba habari hii si ya uzushi. Umeme umepanda kwa 40%..
   
Loading...