Kuadhimisha Mapinduzi Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuadhimisha Mapinduzi Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by terabojo, Jan 13, 2012.

 1. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kheri ya Mwaka Mpya Wana JF, jana jioni nilipokea ujumbe (txt msg) ukisomeka ifuatavyo "Tuadhimishe mapinduzi au tuililie Zanzibar? Jee unajua: ZNZ ilikuwa na taa za barabarani kabla ya London! Gari ya mwanzo kuingia Kuwait ilitoka ZNZ! Meli zote Afrika Mashariki zilichukua maji Zanzibar na malipo yakitosha kulipia wafanyakazi wote! Ilikuwa na uchumi imara ya pili afrika baada ya south africa! Ilikuwa ya pili kwa usomi afrika baada ya Ghana!Ilikuwa ikitoa misaada! Leo ni ombaomba aliye gizani!! Hii ni UNGUJA au UNGUZA? Chukua hatua maisha bora!"

  Hayo ni kweli au ndo uchochezi?
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hizo ni kauli za Chadema hizo lakin hazima mashiko hata kidogo. Kumbuka ni wiki iliyopita tu wamesingizia walipata jimbo moja kule Pemba. Na sasa wanatafuta namna ya kufarakanisha Znz nao waweze kuingia kwa kishindo visiwani humo.

  Tuwape pole.

   
Loading...