Kujiuzulu,Kuacha kazi,Kuachishwa kazi na Kustaafu-tujadili kwa kina

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,066
Ninairudisha thread hii katika mtizamo mwingine ili pawe na uwanja mpana zaidi wa kuijadili.
Wakati kuna mtafaruku wa kuwa EL alistaafu na heshima anayostahili katika jamii ni vizuri tuangalie kwa undani vigezo na stahili anazotakiwa apate kiongozi ambaye amekumbana na moja ya yaliyotajwa hapo.
Tuna mifano mingi ambayo tunaweza kuitumia lakini lengo ni kuwa mwisho tujue ukweli uko wapi.
Wadau karibuni.
 
Ni heshima na urafiki wa Jk na EL ndiyo unafanya EL aitwe waziri mkuu mstaafu. kiukweli ni kwamba EL alifukuzwa kazi!
 
EL alijiuzuru kwa manufaa ya umma, ila tunapigwa changa la macho kwa yeye kuvikwa ustaafu. Na je anapokea haki zote za mstaafu toka serikalini? na kama ndio fungu hilo linatoka wapi la kumlipa?
 
Back
Top Bottom