TANESCO hawa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO hawa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lung'wando, Jan 13, 2012.

 1. L

  Lung'wando Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Jamani sikuwa najua kwamba Wafanyakazi wa Tanesco walikuwa hawalipii umeme!! Leo ndiyo nasikia. Nchi hii bwana!
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu ukiona mambo ya bajeti hayaendi sawa pale nyumbani kwako hayaendi sawa unabana matumizi.Inavyoonyesha sasa hali si shwari ndo maana ile mianya yote inabanwa.
  Hembu fikiria,Tanesco ina wafanyakazi wangapi,pili kila mfanyakazi anapewa units ngapi za umeme wa bure kwa mwezi.Nilimtembelea jamaa yangu mmoja home kwake nikamkuta ana units 8000 kwenye mita yake ya luku,just imagine mkuu angeuziwa ni sh.ngapi serikali ingepata.
  Bado EWURA iwangaalie na wale maofisa wanaopewa mafuta lita 100-200 za bure kwa mwezi,bado afya kha!
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ni bora nao waanze kulipa ili kiherehere cha kutupandishia bei kila mara kiishe
   
 4. L

  Lung'wando Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr. Kikwete aliwahi kutuambia tatizo la Umeme litabaki kuwa historia. Sijaona dalili. Lakini pia bado sijaelewa kauli ya kwamba Ongezeko la bei ya Umeme haliwahusu Walalahoi. Dah! Hivi ni nyumba ngapi zinazotumia Unit 2 tu kwa mwezi? Hata Mlalahoi je hafikishi kuleee kwenye Unit 50 kwa mwezi?
   
 5. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,709
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  That is an issue;
  1. Yafaa Tanesco igawanywe kwenye Uzalishaji, Usambazaji na uendeshaji. Na haya maeneo yapewe mashirika tofauti. Watumie PPP ili kuendesha hili shirika ili ushindani uwepo maana itapunguza monopoly.
  2.0 Watoe analaysis/feasibility study wazi kwa wananchi ili tujue gharama ya uendeshaji, hasa uzalishaji ikiwezekana strategy namna ya kupunguza gharama. Its strange kuona development zinasofanya softsification ya uzalishaji ipo na Tanesco bado wanashindwa even kubreak even kwa miaka yote ili hali wateja waongezeka.
  3.0 Waruhusu wazalishaji binafsi kwenye baadhi ya sehemu wazalishe waingize umeme kwenye grid, na kama hiyo sheria ipo inayoruhusu watangaze ili watu wazalishe.
   
 6. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu we potezea tu,maana sijui wametumia vigezo gani kwenye hiyo research yao kuwa kwa nyumba yenye kutumia units 2 ina vitu gani na gani.Anyway,hata hizo ahadi ni nyingi mno kila kona ya nchi hii,tuombe Mungu tu kila uchao mambo yaende.Ila hali ni tight sana kitaa,mkubwa.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu kweli una imani na anacho ahidi Kikwete? Bora imani yako uihamishie kwenye dini yako angalau utakuwa mcha Mungu kwa faida yako.
   
Loading...