Mimba za kupandikizwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba za kupandikizwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by salito, Jan 13, 2012.

 1. salito

  salito JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Wadau habarini,hivi hizi mimba za kupandikizwa zinaweza kupandikizwa kwa kila mwanamke au kuna mazingira yanayoweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na kwa mfano wale wanaopandikizwa huwa wananyonyesha wakishazaa au inakuwaje??
   
Loading...