World's newest snake discovered in Tanzania by a British scientist

masssaiboi

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
636
132
article-2085238-0F6472BA00000578-62_634x382.jpg



article-2085238-0F66E3A200000578-615_634x323.jpg


The world's newest snake has menacing-looking yellow and black scales, dull green eyes and two spiky horns. And it's named after a seven-year-old girl "MATILDA'
Matilda's Horned Viper was discovered in a small patch of southwest Tanzania about two years ago and was introduced last month as the world's newest known snake species in an issue of the journal Zootaxa.
Tim Davenport, the director of the Wildlife Conservation Society in Tanzania, was on the three-person team that discovered the viper


Read more: Matilda's Horned Viper@ World's newest snake discovered by British scientist | Mail Online
 
Ni nzuri sana masha'allah!
Ila kinacho nishangaza ni kuona mzungu atoke kwao, aje aone nyoka alafu aseme ameidiscover yeye... hivi sisi hatukujua kua tuna nyoka kama huyo wakati tumeishi nayo miaka na milele? tushtuke jamani! huyo nyoka angeweza kuitwa Matwi au Mwali...
 
Hapa kujikweza kwa wazungu hawachelewi. Hapo hata taasisi ya Tz wala wabongo walohusika hawatajwi inabaki kutangaza hiyo conservation society. Ukoloni uko palepale
 
ninavyoogopa nyoka,hapa nafikiria keshaua wangapi...lol eti wengine mnasema beautiful ana uzuri gani huyo ukimuangalia all you see is evil?!
 
kawaida nyoka huwa anajivua gamba kila baada ya muda fulani, inavyoonekana huyu nyoka hajajivua gamba toka azaliwe na hii inafanana na tabia ya chama fulani cha siasa hapa TZ, sijui jina gani linafaa kupewa huyu nyoka ili kufananisha na hiki chama!
 
Nyoka bdala wapungue ndo wanagundulika wengine? Vip sumu yake? Mana hapa sipo interested na rangi wala uzuri.
 
nyoka wa ajabu kweli,sijui kwa sasa yuko wapi..maana si ajabu kashaibiwa na mgunduzi.
 
Back
Top Bottom