Aibu aibu uwanja wandege majuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu aibu uwanja wandege majuzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chuck j, Jan 12, 2012.

 1. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,989
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  kuna mshikaji wangu anaishi namibia yeye na kakake,kakake kaoa,.jz wakarudi home na mke wa kakake,walivokuwa wanakaribia kutua uwanja wa ndege,wakatangaziwa intanational airport nyerere wakati wanajiandaa ku2a,akaona giza,kufk ni gz,akauliza hapa ni jk airport?akajibiwa ndio,mbona giza,hakuna umeme?akastaajabu sana,
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Arudi Namibia..hiyo ndiyo Tz yetu..full drama
   
 3. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Gi+za = Tanzania
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,038
  Trophy Points: 280
  Tanzagiza
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  T:doh:NZ:doh:NI:doh: NCHI Y:doh:NGU
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Aibu gani....mbona sie hatushangai.....
   
 7. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ngeleja = giza = ufisadi = wizi = upuuzi
   
 8. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #8
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mshikaji hajui kwamba alisha fika Tanzagiza!!
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa untaka kusemeje? aibu kwani alisababisha yeye hicho kiza? kajipange upya.
   
 10. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgao wa umeme kwetu kawaida bongo!
   
 11. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asishangae sana,akitaka akashangae feri: shilingi yapanda,heshima yazama. Akija akajua kuwa giza haliishii eapot tu,lipo mpaka kwenye akili za viongozi na wananchi wao..,atazirai!
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii fix, licha ya mgao but airport wana generators tena automatic, zipo za jengoni na za kwenye run-way ambazo zipo kule VoR karibia na kipunguni.
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  M k w e r e UKO WAPI? UNACHEZA KIDUKU TU @^&**&*(#@!@!@%^& zako tanzagiza-visa.gif
   
Loading...