soma hapa
HOME SHOPPING CENTRE walivyowaweka Mfukoni TRA - Wazalendo Forums
halafu tazama yaliyotokea jana
HOME SHOPPING CENTRE YAIPIGA JEKI MABWEPANDE.
Ina maana ile kesi yao na TRA...
Wakaazi wa Singida tulitoa tuhuma nzito dhidi ya Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Ndugu Lazaro Nyalandu. Kuwa Nyalandu aliwachukua wadogo zetu, watoto wetu kuwapeleka Arusha kukutana na...
Doto Elias na timu yake! Coverage ya hii kitu haiwezi kuwa na maana Tanganyika wakati kule Zbr kwenyewe haitiliwi maanani,pia wa-Zbr kupanda kwa umeme hakuwagusi ambapo ni issue ambayo ipo na...
[B]Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala peponi Amina...
The Citizen (Dar es Salaam)
Bernard James
13 January 2012
Dar es Salaam - Anti-drugs police yesterday seized a record 210 kilogrammes of heroin worth a staggering Sh9.4 billion in the...
Kumezuka malumbano makali miongoni mwa wanahabari wa mkoa wa Mbeya wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroard Slaa kufuatia waandishi wa habari wa magazeti ya NIPASHE na TANZANIA...
Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei...
Wana JF,habari za asubuhi!Nimeamka asubuhi ya leo nasoma magazeti nikapata hili wazo maana imekuwa ndio kama ka utaratibu kwa nchi yetu kwa miaka michache ilopita na kwa mtizamo wangu itaendelea...
Picha Kushoto: Gari la mkuu wa wilaya ya Ludewa Geogina Bundala likishindwa kupita katika barabara ya Milo kutokana na barabara hiyo kuharibika kwa mvua ,gari hilo na lile ya CCM ambalo...
Huwa sielewi kitu kimoja majukwaani viongozi hupiga kelele kuhusu maadili lakini wakiombwa kuchangia mashindano yanayohamasisha uvunjifu wa maadili ni wa kwanza kwa michango mfano wa mashindano ya...
Habri wana JF?leo ningependa kushea na wana JF experience yangu then itakuwa topic 4 discussion.
leo jioni wakati natoka kwa mihangaiko yangu kulikuwa na bonge la foleni Tabata kuelekea Tazara...
Akihutubiwa mkutano wa hadhara ktk maeneo ya Sido,amekutana na zomea zomea,baada ya kushindwa kujibu maswali ya wakazi na wafanyabiashara wa hapo!ikamlazimu kukabidhi maiki kwa Mc,na kupanda...
habari za kazi wakuu ?
Kuna tetesi nilizopata hivi punde kuwa lile jambazi sugu lililoua polisi pamoja na kumjeruhi vibaya kwa risasi mkuu mmoja wa polisi huko jijini Arusha takribani wiki...
Mchana huu Rais Jk ametembelea na kujionea hali halisi ya nyumba za muda huko mabwe pande zilizojengwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.
Nyumba hizo (mahema) zina uwezo wa kustahimili kwa muda...
Katika hali ambayo haikutegemewa mgombea wa jimbo la segerea chadema mwaka 2010
ameebuka na kusema kuwa upinzani unajimaliza wenyewe. Akiojiwa na Tanzania Daima na
Mwananchi mbuge huyo...
Habari nilizozipata kutoka chanzo cha ndani ya Jeshi la polisi ni kuwa Jambazi lililoua polisi Mkoani Arusha limeuawa na polisi asubuhi ya leo maeneo ya karibu na Monduli na lilijaribu kupambana...
ndg wanajf, kwa yeyote anayejua namna awa jamaa wanavyokokotoa kodi hasa ya gratuity naomba anijuze kwani
katika taasisi yetu kuna utata wa namna awa jamaa wanavyokokotoa hii kodi. kwani kuna visa...
Wakazi wa tank bovu kando ya mto mbezi wamehujumiwa hawakuhorodheshwa kwa madai ya kuwazuia wachimba mchanga!kwakuwa wachimba mchanga wanaharibu mazingira!na wanapeleka hesabu kwa mtendaji wa kawe...