Star TV na media coverage ya sherehe za mapinduzi Zbr | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star TV na media coverage ya sherehe za mapinduzi Zbr

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aaronium, Jan 14, 2012.

 1. Aaronium

  Aaronium Senior Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Doto Elias na timu yake! Coverage ya hii kitu haiwezi kuwa na maana Tanganyika wakati kule Zbr kwenyewe haitiliwi maanani,pia wa-Zbr kupanda kwa umeme hakuwagusi ambapo ni issue ambayo ipo na inatugusamoja kwa moja,mapinduzi hayatuhusu,hayapunguzi ugumu wa maisha bara,halafu yanaudhi zaidi kwa sbb nchi ile inapewa umeme bure,sisi twalazimishwa kuwalipia,siye Tanganyika tunayetu ya muhimu,na nyie km nchi mna ya kwenu,pia magazeti ya Tnyk hayanunuliwi,na hamuwezi kutune radio Tumaini ambao wamecover mapinduzi
   
 2. M

  Mtwike Senior Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe tatizo hupati*Tumaini? Pole, Kwani hii tumaini ndio nini huku Visiwani?
   
Loading...