Home Shoppin Centre kumpa rais zawadi imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Home Shoppin Centre kumpa rais zawadi imekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Jan 14, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, wamempa zawadi gani rais?
   
 3. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mi sitaki hata kufungua kusoma hizo link najua utakua ni upuuzi tu kwani ninachojua mimi hao waarabu wametoa msaada kwa watu waliokumbwa na mafuriko ambao rais alikwenda kuwajulia hali...kesi pale pale kwa kuwa ushiita kesi hivyo ni suala la kimahakama,ambayo ni mamlaka nyingine,kwa hiyo ukiwa na kesi huwezi kumsaidia mwenye kuhitaji?
   
 4. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  waarabu wa kempiski walipompa suti za mitumba mbona hukuhoji?
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ukitaka kuibia Tanzania unga urafiki na WAKUBWA!
   
 6. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa staili hii wale wanaofanya corporate social responsibilities ambayo one of marketing strategies za kujitangaza na kulikamata soko, wataogopa kufanya hivyo kwa kuwa wanaonekana ni mamafya au wajanja wakwepa kodi au mafisadi kwa jina la kisiasa. Jamani tuwe na levels of tolerance sometimes. Yasije yakawa ya manyoa pale salender bridge.

  Tuchape kazi tukipata nyongeza totoe kwa wasiojiweza. Hata kwenye dini zetu tunahimizwa kuto zaka na sadaka.
   
 7. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hawajampa zawadi rais, wametoa msaada kwa wahanga wa mahafa, hii ni mara ya pili ndan ya wiki, mwanzo walitoa mifuko ya cement kama elfu kadhaa. Labda wanataka kujitakasa
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wanalipa fadhira wanavyo kwepa kulipa kodi kwa kutumia TRA wanachukua BL kwa wafanyabiashara k.koo wao ndo wanatoa mizigo bandarini
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  maswali mengine huwa magumu?
   
 10. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  mkuu jamaa wamefiliska hao baada ya tra kukomaa nao wameanza kufunga maduka nikuambiavyo la upanga linafungwa february
  sijui nini wanadai wamekuta loss kibao khe!!waliwavua nguo tra nzima kuanzia mzee wetu tillya mpaka wale watoto wa graduate walioajiriwa majuzi wakashindwa tu kuwafanya mbaya loh nchi hii
   
 11. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naona umeamua kujifariji mkuu, ungekuwa umefika China au Hongkong ndiyo ungejua nguvu ya hawa jamaa.
  Wana nguvu gani wamewekeza huko, au nenda pale Keko kwenye yard yao uone Kontena zinavyoshushwa na Machine utadhani viberiti.

  Pale uhuru karibia na shule ya Benjamin Mkapa wanajega Plaza wewe unasema wamefilisika.
   
Loading...