Wegero----kiagata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wegero----kiagata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIJIKI, Jan 15, 2012.

 1. KIJIKI

  KIJIKI Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii hali ya wananchi kuwa wanaingia migogoro na vyombo vya ulinzi na hata sasa kufikia hatua ya polisi kuwauwa raia sio halia njema hata kidogo inabidi utaratibu wa kuongea na wananchi utazamwe upya..

  Nasema hili kwa kufanya reference ya mauwaji yaliyotokea jana katika kijiji cha WEGERO-KIAGATA-MUSOMA VIJIJINI na hatimae polisi kumpiga risasi kichwani live na kufa papo hapo na mchana kweupeeeeeeeeeeee je wanasheria hii ni nini sasa?????????!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...