Uhusiano wa kifo na mwisho wa mwaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa kifo na mwisho wa mwaka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by manuu, Jan 10, 2012.

 1. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,026
  Likes Received: 9,389
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikijiuliza sana kuna uhusiano gani wa kifo na miezi ya mwisho wa mwaka yaani kuanzia mwezi wa 10-12 watu wamekuwa wakifariki kwa kasi ya ajabu.Nikafikiria labda sababu ni miezi ambayo watu wapo bize sana ndio maana vifo vya ajali vinatokea kwa wingi ukilinganisha na miezi mingine?Jibu nikapata hapana sababu hata kama ulikuwa na jamaa yako ambaye alianza kuugua mwezi wa 5 utakuta ataendelea na matibabu mpaka ikifika hiyo miezi tajwa hapo juu tu unasikia ghafla jamaa amefariki dunia ,Na habari za jamaa ameanguka ghafla na kufariki zinakuwa zinashamiri sana miezi hiyo hapo.


  Je wewe umewai jiuliza labda ni nini kinaweza kuwa sababu ya vifo vingi sana kutokea miezi tajwa au ni kwa sababu imani za wengi wetu tunaamini miezi hiyo ni ya ajali nyingi sana hivyo Imani hiyo inaumba ama?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Siamini hiyo, naamini kila mtu anakufa na siku yake, kama una research yeyote umefanya/iliyofanywa lete tujadili.
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,094
  Likes Received: 2,978
  Trophy Points: 280
  Hakuna mahusiano yoyote ya mwisho wa mwaka na kifo,maumbile hayajui kama kuna mwaka,suala la mwaka ni mawazo yako.Leo tukiamua disemba iwe january inawezekana kwani hakuna tofauti ya januari na disemba au jana na leo!Hayo yako kichngmwako tu!
   
 4. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kifo wee kifo, kifo hakina huruma
   
 5. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni kweli. mwisho wa mwaka kuna wanaoenda kula sikukuu Moshi, Mombasa, London, Ahera...
   
Loading...