Babu wa samunge na kikombe chake!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu wa samunge na kikombe chake!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samirnasri, Jan 15, 2012.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mwaka jana kipindi kama hiki mjadala juu ya kikombe cha babu wa samunge ulitawala katika vyombo mbalimbali vya habari na maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya nchi walifurika katika kijiji cha Samunge kupata kikombe. Hapa nchini watu wengi maarufu wakiwemo wanasiasa na watendaji wa serikali nao walipata kikombe. Ikiwa takriban mwaka mmoja umepita tangu kikombe cha babu kianze kutolewa tujadili success and failures za kikombe. Je kikombe bado kinapatikana kule samunge!??????
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ilijtuwa janja ya ccm kuwatoa watu kwenye mjadala wa ugumu wa maisha
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  namjua mmoja alikunywa na tumeshamzika
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Nawafahamu wawili waliopata kikombe wameshatangulia mbele ya haki.
   
 5. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Take care! Watatokea manabii wa uongo duniani.sisemi zaidi
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Babu kavuma kiasi chake......
   
 7. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  na mimi pia namjua mmoja ambaye alipiga funda ila kapoteza
   
 8. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Babu yule mimi namsifu sana, Rais wetu angekuwa na uwezo ule wa kukusanya mapato, fikra za watu na attention ya wagonjwa Tanzania ingesonga mbele.
   
 9. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nipo mitaa ya Samunge huku katika boma la mbwa mwitu (wild dog sanctuary)
  Naona kuko kimya kabisa hatupishani hata na magari yanayoenda kwa babu.
   
 10. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Jamani kipindi kile hamkumbuki kuwa ndo mjadala wa kuilipa Dowans ulikuwa umeshika kasi? Yani magamba walikuja na plan ya hali ya juu wakatupotezea kwa babu loliondo. Mh hata wale viongozi wa KKKT wa kaskazini walimpamba kweli huyu mzee. siku hizi siwasikii Kazi kweeli kweeli
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  da ila safari ile niliipenda sana ya kwenda samunge! mandhari ya Oldonyo lengai, Lake Natron, wasonyo, ilikuwa adventure moja tosha kabisa
   
 12. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tupo Samunge hapa washkaji wanasubiri kugonga kikombe kwa Babu,hawaruhusu kupiga picha,na kuna walinzi hapa.
   
 13. M

  Makupa JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mwenzenu Babu aliona staili pekee ya kutoka ni kuhusisha utapeli wake na imani ya kidini na hapo ndipo alipopiga bao,mimi namsapoti babu kwa kuweza kuwadanganya watanzania wenye elimu zao kurudi kwenye zama za stone age
   
 14. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hili mjadili na magamba maana ndo waliongoza misafara kwenda kwenye kikombe
   
Loading...