Panis Angelicus himn for hon.Regia

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Ndugu zangu, nimelazimika kusikiliza latin sombre himn...panis angelicus kumkumbuka mbunge wetu mh. Regia, ni mimi niliyeuliza lile swali la kuendesha gari na hali yake ile ...naomba radhi timing nadhani haikuwa muafaka..kwa sasa tumkumbuke na kumuenzi mbunge shupavu binafsi namkumbuka kwa jabali la swali alilomuuliza mh. sana Peter kayanza pinda...kana kwamba tanzania sasa imejipambanua kutopokea msaada kutoka uingereza kutokana na msimamo wake wa kupinga ushoga?! Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie...apumzike kwa amani( kwa wasio wakatoliki, Panis Angelicus ni nyimbo ya kilatini hupigwa kwenye maombolezo.
 
Pole, nakuheshim sana kwa kurudi maneno yako ya mwanzo. Kweli kuna maswali mengi ila kama unavo sema haikua wakati muafaka wa kuuliza... inahitaji moyo na humility kurudi tena, for the sake of doing the right thing...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom